Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

View attachment 2411073

Leo ndio ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu huku wengine wakiisubiri kwa hofu kubwa. Mechi itakuwa saa 2 usiku kwa saa za EA!

Mechi itakayoamua nani anaenda makundi CAFCC. Ikumbukwe kuwa matokeo ya mchezo wa kwanza uliisha kwa droo ya bila kufungana uwanja wa B.Mkapa-Lupaso.
Wameshaanza uzushi ama wameingizwa cha city
IMG-20221109-WA0010.jpg
 
Lazm hyo klbu ikalie kocha wao ameumwa ghafla na nabii ata taka kuhakikishakuwa nyumbani anapewa heshima yake hvyo Ni juu chini kuhakikisha kuwa Ana win win
Unaota we mdada
 
Wazee wa mikeka
Over 3.5
Utanishkuru badae
 
Back
Top Bottom