Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Kikosi cha yanga leo ushindi ni 100%
Cupace20221109181424918.jpg
 
Kila nikijaribu kuiombea yanga kuna sauti inasema ndani yangu kwamba "USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO". Basi naamua kuitii hiyo sauti mana staki dhambi mimi. Wachezaji wa Yanga wanatamani wangepata ajali kama ile ya precision air ili kuficha aibu yao kwa taifa .
BBC
 
Usilitaje jina la BWANA Mungu wako bure.
 
𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 𝗗𝗔𝗬🔰

⚽️ Club Africain 🆚 Young Africans SC
🗓 09 November 2022
⏱ 12:00 Jioni - TUN | 02:00 Usiku - TZ
🏟 Hammedi Agrebi Olympic - Radès

______________________
Kikosi kinachoanza dhidi ya Club Africain💪🏽
1668011956844.jpg

______________________
𝗪𝗔𝗥𝗠 𝗨𝗣🔋💪🏽

1668012811255.jpg

______________________

MATCH IMEANZA MDA HUU SAA 2: 00 TZ.
______________________

𝗛𝗔𝗟𝗙 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️

Club Africain 0-0 Young Africans SC
1668016789450.jpg

#TimuYaWananchi
#TotalEnergiesCAFCC
#DaimaMbeleNyumaMwiko

_________________
 
Attachments

  • Young_Africans_Sports_Club18h󰞋󰟡(720p).mp4
    6.6 MB
Back
Top Bottom