Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Sisi watunisia wa kwa mtogole tunaomba wana yanga watusamehe kwa kichapo tutakacho wapa
 
Kumbe gemu ishaanza, najua banda umiza jirani hapa hawataniangusha
 
Sio mpige mpira tuu muone mnacheza fungeni magoli. Hao wapinzani wanaweza wakapata mpira mmoja tuu na goli
 
Shida Yanga ipo hapo siku hzi show off nyingiii. Ilikua hivi kwa alhilal wamecheza weee akaja alhalali mmoja akachukua mpira na goli
 
Back
Top Bottom