Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Ahueni Profesa umesikiliza maoni ya wenye mpira wao. Hiki kikosi nilikipendekeza jana kwenye uzi fulani hivi. Hivyo naomba ni diclee intetest!

Ikitokea kwa kikosi hiki tukafungwa, basi nakubaliana na matokeo. Na sitamtupia yeyote yule lawama. Hii ndiyo Yanga iliyotakiwa kucheza mechi zote zilizopita. Kuanzishwa kwa Kisinda, kuliidhofisha sana timu.
 
Ahueni Profesa umesikiliza maona ya wenye mpira wao. Hiki kikosi nilikipendekeza jana kwenye uzi fulani hivi. Hivyo naomba ni diclee intetest!

Ikitokea kwa kikosi hiki tukafungwa, basi nakubaliana na matokeo. Na sitamtupia yeyote yule lawama. Hii ndiyo Yanga iliyotakiwa kucheza mechi zote zilizopita. Kuanzishwa kwa Kisinda, kuliidhofisha sana timu.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom