Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Hongereni sana watani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikufanya nini,mbona una chuki nae sana?Ila Fiston ana roho mbaya sana ya ubinafsi
😂😂😂 Huku aliko haamini macho yakeNaamini mdogo wangu @GENTAMYCINE muda huu atakuwa anagugumia tu kwa maumivu. Ndiyo hivyo tena. Pole sana.
mwiteni gentamycineAlikufanya nini,mbona una chuki nae sana?
Mbona tumeshawazoea wanapokua wanaizodoa Simba na nyie tulieni tuu wawazodoe hamuoni imewafanya mmecheza kufa kupona?Wachambuzi michongo sijui kesho wataongea nini. Kuna haja ya club kuwapiga marufuku kuiongelea Yanga.
Jinga sana hao
Mutu ya mpira japokua mkia fc
Nawewe usitake nitumie maneno mengi wakati mpira ulikuwa unaangaliaAlikufanya nini,mbona una chuki nae sana?
Hahaha loosers hawawezi kuipa kipaumbele tena[emoji23].Hivi kwani uto hamjawahi kuingia group stage za loosers? Mbona kama mmefurahi sana leo?. 😀 😀
Sn yn, tng asbh kuna watu niliwambia yanga ataenda makundi wakabisha sn. Nikawambia mpira una maajabu yake jmn km simba alimtoa zamalek 2003 tena akiwa bingwa mtetez sembuse yangaLeo kwa kweli tumeupiga
Tupo humu sambamba na walioliona jua siku ya leo hahahhahHumu hapakaliki leo, nipo kwenye politics kule.[emoji23]
Kalpana Scars Mshana Jr SAGAI GALGANO @
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyinyi mfike angalau ata roboNdio kombe ambalo walau uliwahi fika fainali.
Bado nawakumbusha wananchi kuwa utaratibu bado ni ule uleHumu hapakaliki leo, nipo kwenye politics kule.[emoji23]
Kalpana Scars Mshana Jr SAGAI GALGANO @
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafiki wakubwa hao.Wachambuzi michongo sijui kesho wataongea nini. Kuna haja ya club kuwapiga marufuku kuiongelea Yanga.
Jinga sana hao