Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Nilipoona watu wanakuja na post za kuonesha Yanga pia imetajwa na FIFA nilistuka.

Nikajiuliza hawa FIFA wamejisahau vipi kuweka dust kwenye list.

Ikabidi niingie chaka kusaka hizo data lakini kila napopita kwenye official site za FIFA nakutana na list ya vilabu 12 tu

Kwa hiyo nimepata mashaka kuwa watu wameamua kucheza na Photoshop ili kujilisha upepo mashabiki wa Yanga waamini nao pia wapo.
Sasa hivi anaongelea kuchukua kombe la CL wakati juzi tu malengo ya msimu huu yalikuwa kuingia hatua ya makundi. Kuvuka hapo walipo wanafanya mahesabu ya tuki waki
 
Haya maswali naulizwa na mtu anayejua mpira au usiyejua mpira?
Mashindano ya nje ni mashindano ya kimataifa ambapo kwa CAF yapo mawili ambayo ni CAFCl na CAFCC ambayo yanaitwa CAF interclub championship.
Kwa msimu uliopita Yanga alikusanya point 20 kupitia haya mashindanoni.

Halafu hauoni IFFHS na FIFA kuelekea mashindano mapya kila mmoja anatumia vigezo vyake?
IFFHS wanakusanya point kwenye mashindano ya ndani (ligi kuu na FA) na mashindano ya kimataifa ( cafcc na cafcl)
Huku FIFA wakitumia kigezo kimoja pekee cha cafcl je hapo rank za IFFHS na FIFA zitalingana vipi?
Nyinyi mlipokuwa mnavimba kuwa Yanga ni timu bora Afrika ipo nafasi ya pili, kwa wakati huo haya maelezo mlikuwa mnayajua au mmeyajua leo baada ya kuona post ya FIFA?

IFFHS ilikuwa inakusanya point kwa kuzi rate kulingana na competition ya ligi.

Mfano mashindano ya UEFA yalikuwa yanatolewa point 14 kwa timu itayoshinda na point 7 kama itatoa sare.

Ukija kwenye ligi yako ya NBC rate yake ilikuwa ni point 4 kwa ushindi na 2 kama ukisare.

IFFHS haina uhusiano wowote na FIFA bali IFFHS inajihusisha na FIFA kwasababu inakusanya data zote katika michuano inayohusika na FIFA.

Sasa nyie mlipoona mpo juu ya Everton, Chelsea mlikuwa hamstuki tu kuwa hizi takwimu hazina chemistry yeyote na FIFA?
 
Tusiamishe mjadala kutoka pale tulipokuwa tunajadilana. Hoja sio IFFHS hoja nimekuuliza juu nitajie vigezo vya kushiriki michuano ya FIFA club world cup 2025 ni zipi? Maana mkibanwa tu hoja mnahama nje ya mada. Mada iliyopo hapa sio IFFHS bali FIFA club world cup 2025
 
Kumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
Acha kuandika gazeti hapa tim yako haipo full stop subl mapinduzi zanzibar huko ndo level zako huwez kuwekwa level za wakubwa
 
We jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Sasa Simba atafikaje Point 75 kutoka 35 mkuu.

Tuache ushabiki kwanza
 
Tusiamishe mjadala kutoka pale tulipokuwa tunajadilana. Hoja sio IFFHS hoja nimekuuliza juu nitajie vigezo vya kushiriki michuano ya FIFA club world cup 2025 ni zipi? Maana mkibanwa tu hoja mnahama nje ya mada. Mada iliyopo hapa sio IFFHS bali FIFA club world cup 2025
Ukiwa bingwa wa cafCL nje ya Ahliy, Wydad na Mamelody UNAENDA.

Wakiwa hao mabingwa Unatakiwa uwe wa 4 na wa 5 kipoint
 
Acha kuandika gazeti hapa tim yako haipo full stop subl mapinduzi zanzibar huko ndo level zako huwez kuwekwa level za wakubwa
Aliyosema Rage ni sahihi, Yanga inashirki klabu bingwa na moja ya kigezo cha kushiriki michuano ya FIFA club world cup ni kuwa bingwa wa CAFCL halafu mtu anasema timu yako haipo. Una akili timamu? Lini Yanga imetolewa katika mashindano ya klabu bingwa msimu huu?
 
Nilipoona watu wanakuja na post za kuonesha Yanga pia imetajwa na FIFA nilistuka.

Nikajiuliza hawa FIFA wamejisahau vipi kuweka dust kwenye list.

Ikabidi niingie chaka kusaka hizo data lakini kila napopita kwenye official site za FIFA nakutana na list ya vilabu 12 tu

Kwa hiyo nimepata mashaka kuwa watu wameamua kucheza na Photoshop ili kujilisha upepo mashabiki wa Yanga waamini nao pia wapo.
Kubali tu ukweli kwa sasa yanga amekuzidi ubora upate amani ya moyo na kuacha kutumia nguvu kubwa kulazimisha furaha, hv unapata wapi ujasiri wa kumkandia yanga aliekupiga 5 juzi juzi tu na hata ukirudiana nae leo hii atakupiga tena goli nyingi. Angalia kundi la yanga champions league ni mabingwa wa nchi zao tu na bado yanga ndie amemiliki mchezo kwenye game zote 4 alizocheza mpaka sasa hivi. Yanga amekaa sawa baada ya kuanza kudhaminiwa na GSM huu ni mwaka wa tatu tu huwezi kufananisha na simba ambae kaanza kudhaminiwa na Mo huu mwaka karibu wa 8. Simba mpo juu ya yanga kitakwimu kwa sababu mlianza safari mapema lakini consistency ya yanga baada ya miaka miwili tu atakua ashakupita.
 
Tusiamishe mjadala kutoka pale tulipokuwa tunajadilana. Hoja sio IFFHS hoja nimekuuliza juu nitajie vigezo vya kushiriki michuano ya FIFA club world cup 2025 ni zipi? Maana mkibanwa tu hoja mnahama nje ya mada. Mada iliyopo hapa sio IFFHS bali FIFA club world cup 2025
Kwani hili nalo ni swali la msingi?

Ngoja sasa nikujibu kwa upana na kama ulikuwa unauliza kwa lengo la wewe kutaka kujua basi sio shida.

Kulingana na FIFA ku expand hii michuano kwa kuongeza timu 32 zishiriki Club World Cup

FIFA ikaamua itumie kigezo cha points zilizokusanywa kwa misimu minne ambapo points huhesabiwa kuanzia level ya group stage na kuendelea.

FIFA ilitaka kupata radha kamili ya hii michuano na ndio maana ikatumia kigezo cha consistency yani muendelezo wa kuwa na rekodi nzuri kwa misimu minne.

Walifahamu kuwa wakiweka kigezo cha last tournament na achievement uliyopata kuna timu zisizo bora zinaweza kupata nafasi ya kushiriki ilihali zilipata hayo mafanikio kwa bahati tu.

Sasa maana yake timu ambayo imekusanya pointi nyingi katika misimu minne ipo miguu yote mbele kushiriki mashindano hayo kuliko timu nyingine.

Timu hiyo haitohitaji ichukue ubingwa wa CAF ili ishiriki kwasababu tayari ishafuzu kwa vigezo vilivyowekwa.

Ila kwakua awali FIFA walikuwa wanatoa nafasi kwa timu inayochukua ubingwa basi nafasi hiyo pia ipo hata kwa ile timu ambayo haikuweza kukusanya pointi kwa misimu minne iliyopita.

So ifahamike kuwa awali kushiriki Club World Cup ilikuwa mpaka uchukue ubingwa wa CAF champion league. Lakini kwa sheria mpya za kuingiza timu 4 zinampa fursa hata yule ambaye hajachukua ubingwa kuweza kushiriki iwapo atafikia idadi ya points kubwa

Kumbuka Europe itatoa timu 12, S. America itatoa timu 6, lakini mabara yaliyobaki yatatoa timu 4 yani kuanzia N. America, Africa na Asia hizo zote zitatoa timu 4

Kwa Afrika katika zile nafasi 4 sisi tayari tuna timu 2 ambazo zishafuzu ambazo ni Al Ahly na Wydad. Hizi timu hazihitaji kupata pointi kujazia ili zi qualify.

Nafasi mbili zilizobaki ndio zinashindaniwa na timu eidha iongeze points au ichukue ubingwa wa CAF

Kwa hiyo FIFA wakatoa list ya timu ambazo zipo kwenye marathon ya kuweza kupambania hizo nafasi mbili. Timu ambazo zimepewa probability kubwa kutokana na points zao.
 
Kubali tu ukweli kwa sasa yanga amekuzidi ubora upate amani ya moyo na kuacha kutumia nguvu kubwa kulazimisha furaha, hv unapata wapi ujasiri wa kumkandia yanga aliekupiga 5 juzi juzi tu na hata ukirudiana nae leo hii atakupiga tena goli nyingi. Angalia kundi la yanga champions league ni mabingwa wa nchi zao tu na bado yanga ndie amemiliki mchezo kwenye game zote 4 alizocheza mpaka sasa hivi. Yanga amekaa sawa baada ya kuanza kudhaminiwa na GSM huu ni mwaka wa tatu tu huwezi kufananisha na simba ambae kaanza kudhaminiwa na Mo huu mwaka karibu wa 8. Simba mpo juu ya yanga kitakwimu kwa sababu mlianza safari mapema lakini consistency ya yanga baada ya miaka miwili tu atakua ashakupita.
Hapo unakuwa umeandika nini sasa?
 
Hilo mimi nalijua ila niliyekuwa najadiliana ndiye halijui hilo
Nani alikuwa hajui?

Nimewaambia mnioneshe Yanga yupo nafasi ya ngapi kati ya zile timu 12 zilizo tajwa na FIFA
 
Mnakutana na huu msako
 
Attachments

  • 1703494516393_1703494516394.mp4
    5 MB
Ukiwa bingwa wa cafCL nje ya Ahliy, Wydad na Mamelody UNAENDA.

Wakiwa hao mabingwa Unatakiwa uwe wa 4 na wa 5 kipoint
Nafasi ni 4 tu nje na hapo utakuwa mpenzi mtazamaji

Hata hivyo Yanga malengo yao ni makundi siwaoni zaidi ya hapo
 
Kwani hili nalo ni swali la msingi?

Ngoja sasa nikujibu kwa upana na kama ulikuwa unauliza kwa lengo la wewe kutaka kujua basi sio shida.

Kulingana na FIFA ku expand hii michuano kwa kuongeza timu 32 zishiriki Club World Cup

FIFA ikaamua itumie kigezo cha points zilizokusanywa kwa misimu minne ambapo points huhesabiwa kuanzia level ya group stage na kuendelea.

FIFA ilitaka kupata radha kamili ya hii michuano na ndio maana ikatumia kigezo cha consistency yani muendelezo wa kuwa na rekodi nzuri kwa misimu minne.

Walifahamu kuwa wakiweka kigezo cha last tournament na achievement uliyopata kuna timu zisizo bora zinaweza kupata nafasi ya kushiriki ilihali zilipata hayo mafanikio kwa bahati tu.

Sasa maana yake timu ambayo imekusanya pointi nyingi katika misimu minne ipo miguu yote mbele kushiriki mashindano hayo kuliko timu nyingine.

Timu hiyo haitohitaji ichukue ubingwa wa CAF ili ishiriki kwasababu tayari ishafuzu kwa vigezo vilivyowekwa.

Ila kwakua awali FIFA walikuwa wanatoa nafasi kwa timu inayochukua ubingwa basi nafasi hiyo pia ipo hata kwa ile timu ambayo haikuweza kukusanya pointi kwa misimu minne iliyopita.

So ifahamike kuwa awali kushiriki Club World Cup ilikuwa mpaka uchukue ubingwa wa CAF champion league. Lakini kwa sheria mpya za kuingiza timu 4 zinampa fursa hata yule ambaye hajachukua ubingwa kuweza kushiriki iwapo atafikia idadi ya points kubwa

Kumbuka Europe itatoa timu 12, S. America itatoa timu 6, lakini mabara yaliyobaki yatatoa timu 4 yani kuanzia N. America, Africa na Asia hizo zote zitatoa timu 4

Kwa Afrika katika zile nafasi 4 sisi tayari tuna timu 2 ambazo zishafuzu ambazo ni Al Ahly na Wydad. Hizi timu hazihitaji kupata pointi kujazia ili zi qualify.

Nafasi mbili zilizobaki ndio zinashindaniwa na timu eidha iongeze points au ichukue ubingwa wa CAF

Kwa hiyo FIFA wakatoa list ya timu ambazo zipo kwenye marathon ya kuweza kupambania hizo nafasi mbili. Timu ambazo zimepewa probability kubwa kutokana na points zao.
Umeandika maelezo marefu kwa kuelezea nafasi moja tu ya mwakilishi katika zile nafasi nne kwa upande wa Africa. Kuna nafasi moja tu ya upande wa rank ambayo wewe maelezo yako yameegemea upande huo. Kuna nafasi tatu zote hizo zinatokana na kuchukua kombe la champions league. Mpaka sasa timu ya Wydad na Al Ahly wameshafuzu kwavile ndio mabingwa wa CAF champions misimu mitatu nyuma.
2020/2021 bingwa ni Al Ahly
2021/2022 bingwa ni Wydad
2022/2023 bingwa ni Al Ahly
Kama kungekuwa na bingwa mpya wa CAF champions league msimu wa 2022/2023 tofauti na Wydad na Al Ahly inamaana ranking isingetumika kupata mwakilishi wa tatu kwa Africa bali angetafutwa tu bingwa wa msimu huu wa CAF champions league (2023/2024) ili kutimiza timu nne.

Upande wa rank kuna nafasi ya timu moja tu ila timu tatu zingine zinachukuliwa kwa waliochukua kombe yaani mabingwa wa kombe la CAF champions league. Ila kama itatokea Al Ahly au Wydad atachukua kombe, hapo zitachukuliwa timu mbili badala ya moja kwasababu Wydad na Al Ahly tayari walishafuzu kwa tiketi ya ubingwa.
IMG_20231225_145550.jpg
 
Sio kweli kuwa Al Ahly na Wydad wapo hapo kwasababu ya kuchukua makombe katika hiyo misimu minne.

Ni kwasababu ya rank zao katika kukusanya point kitu ambacho hata aliyefika fainali mfululizo wa misimu minne pia kuna point anakusanya ambazo zingemfanya awepo hapo

Nakupa mfano

Al Aly katika hiyo misimu minne angekuwa anaishia fainali tu na Simba ndio angekuwa anachukua yeye misimu yote hiyo minne ina maana Al Ahly asingekuwa ame qualify kushiriki michuano ya World Cup kwasababu katika hiyo misimu hakubeba ubingwa?
 
Back
Top Bottom