Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
Nyi mkienda Zanzibar nani hua anawaingilia?Uwanja wao una shida gani? Kama hauna shida basi TFF wanapaswa kurekebisha Sheria na kanuni kuhusu viwanja. Haiwezekani timu ijiamulie tu muda wowote bila sababu ya msingi kuacha kuchezea uwanja wake ambao walisema ni uwanja wa nyumbani na kwenda Kwenye kiwanja kingine.
Mim naona wamepeleka tabora ili kuongeza mauzo ya ticketUwanja wao una shida gani? Kama hauna shida basi TFF wanapaswa kurekebisha Sheria na kanuni kuhusu viwanja. Haiwezekani timu ijiamulie tu muda wowote bila sababu ya msingi kuacha kuchezea uwanja wake ambao walisema ni uwanja wa nyumbani na kwenda Kwenye kiwanja kingine.
Kanuni inaruhusu timu mwenyeji kwa kila nusu msimu kuamua kucheza match moja uwanja wowote wenye sifa.Uwanja wao una shida gani? Kama hauna shida basi TFF wanapaswa kurekebisha Sheria na kanuni kuhusu viwanja. Haiwezekani timu ijiamulie tu muda wowote bila sababu ya msingi kuacha kuchezea uwanja wake ambao walisema ni uwanja wa nyumbani na kwenda Kwenye kiwanja kingine.
Huyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.TFF waliiwekea Simba ratiba ngumu ya kucheza baada ya kila siku 3 ili kupunguza viporo ila kwa kuzingatia pia umbali wa viwanja, naona itabidi warudi tena mezani kurekebisha ratiba yao. Simba haiwezi kukubali kucheza Tabora halafu baada ya siku 3 icheze Dar, fck that.
Umefungwa na Yanga match NNE mfululizo,je ulihongwa na GSM?Safi kmc kapakini basi Tabora sisi yanga na GSM tutawapa pesa ya maji
Kwa uamuzi huu wa KMC basi ni lazima TFF wabadili ratiba. Simba hauwezi kuilinganisha na hivyo vitimu vidogo vidogo visivyojua hata maana ya kuipambania nchi.Huyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.
Kisheria wapo sahihi.Uwanja wao una shida gani? Kama hauna shida basi TFF wanapaswa kurekebisha Sheria na kanuni kuhusu viwanja. Haiwezekani timu ijiamulie tu muda wowote bila sababu ya msingi kuacha kuchezea uwanja wake ambao walisema ni uwanja wa nyumbani na kwenda Kwenye kiwanja kingine.
Acheni kudeka. Yanga msimu uliopita walikuwa wanacheza kwa kufuata ratiba ya aina hii hii. Kwanza hao KMC wangefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Yanga, mngekuja na zile porojo zenu za match fixing. Ila kwa sababu wamefanya hivi kwa timu yenu, mashavu yamewashuka.TFF waliiwekea Simba ratiba ngumu ya kucheza baada ya kila siku 3 ili kupunguza viporo ila kwa kuzingatia pia umbali wa viwanja, naona itabidi warudi tena mezani kurekebisha ratiba yao. Simba haiwezi kukubali kucheza Tabora halafu baada ya siku 3 icheze Dar, fck that.
Hivyo vichwa vya kukumbuka wanavitoa wapi? Rage alikuwa sahihi sana tu.Huyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.
Ingekuwaje match fixing kwa KMC kupeleka mechi yao na uto Tabora? Mbona sijakuelewa?Acheni kudeka. Yanga msimu uliopita walikuwa wanacheza kwa kufuata ratiba ya aina hii hii. Kwanza hao KMC wangefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Yanga, mngekuja na zile porojo zenu za match fixing. Ila kwa sababu wamefanya hivi kwa timu yenu, mashavu yamewashuka.