Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Rage ajengewe sanamu ya kumbukumbu.Yanga anazihonga timu ndogo ili zikacheze kwenye viwanja vibovu dhidi ya Simba
Rage ajengewe sanamu ya kumbukumbu.Yanga anazihonga timu ndogo ili zikacheze kwenye viwanja vibovu dhidi ya Simba
Shida yenu kubwa mna vichwa vya kuku. Wakati Singida Black Stars walipo ipeleka Zanzibar mechi yao dhidi Yanga, mlisema nini humu jukwaani?Ingekuwaje match fixing kwa KMC kupeleka mechi yao na uto Tabora? Mbona sijakuelewa?
Wakati uto anashiriki shirikisho, Singida waliipeleka mechi yao na uto ikachezwe Dodoma ili uto isihangaike saana kuwafikia.Shida yenu kubwa mna vichwa vya kuku. Wakati Singida Black Stars walipo ipeleka Zanzibar mechi yao dhidi Yanga, mlisema nini humu jukwaani?
Shida yako kubwa nyingine ni kupenda kwako kuegemea kwenye hisia zaidi, kuliko uhalisia.Wakati uto anashiriki shirikisho, Singida waliipeleka mechi yao na uto ikachezwe Dodoma ili uto isihangaike saana kuwafikia.
Singida hachezi mechi zake nyingi dhidi ya uto kwao Singida ili wasiwachoshe shoga zao.
Unatumia mfano wa Singida kwa uto wakati kitendo cha kutocheza mechi yao nyumbani kwao Singida na kuipeleka Dodoma au Zanzibar inaweza kutafsirika kama ni faida kwa utoShida yako kubwa nyingine ni kupenda kwako kuegemea kwenye hisia zaidi, kuliko uhalisia.
Na kwa nini pia kwa KMC tusiseme ni faida kwa mbumbumbu fc! Au ni match fixing?Unatumia mfano wa Singida kwa uto wakati kitendo cha kutocheza mechi yao nyumbani kwao Singida na kuipeleka Dodoma au Zanzibar inaweza kutafsirika kama ni faida kwa uto
Yaani unadhani Simba inahitaji msaada wa RC Chacha na Rage kumfunga KMC? Au unadhani huko Tabora watachezea chumbani?Na kwa nini pia kwa KMC tusiseme ni faida kwa mbumbumbu fc! Au ni match fixing?
Kwa sababu RC wa Tabora ni msemaji, na pia mhamasishaji wa timu yenu! Na bado kuna Meenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage, aliyewaita mbumbumbu!
Singida na Dodoma kuna umbali gani?Wakati uto anashiriki shirikisho, Singida waliipeleka mechi yao na uto ikachezwe Dodoma ili uto isihangaike saana kuwafikia.
Singida hachezi mechi zake nyingi dhidi ya uto kwao Singida ili wasiwachoshe shoga zao.
Yaani mechi ipo karibia wiki 3 zijazo wameanza kuipigia promo leo. Hawa wanatafuta maokoto tu.KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
View attachment 3315044
Kwa hiyo hii ya KMC kupeleka Tabora ni faida kwa Kolo?Unatumia mfano wa Singida kwa uto wakati kitendo cha kutocheza mechi yao nyumbani kwao Singida na kuipeleka Dodoma au Zanzibar inaweza kutafsirika kama ni faida kwa uto
Hao mbumbumbu hawanaga kumbukumbu.KMC mwaka Jana walipeleka mechi ya Yanga Mwanza!
Haujaelewa hoja inayozungumziwaKwa hiyo hii ya KMC kupeleka Tabora ni faida kwa Kolo?
Umbali wa basiSingida na Dodoma kuna umbali gani?
Eti?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hivi huwa huioti Yanga kweli? Ila kumbuka mchagua jembe, si mkulima...Yanga anazihonga timu ndogo ili zikacheze kwenye viwanja vibovu dhidi ya Simba
Ni mfalme wa soka Tanzania,afrika mashariki na kati..na ni timu ya 4 kwa ukubwa na ubora barani AfrikaHuyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.
Kama haya ndio mnayaona sasa basi misimu mitatu yote ambayo Yanga anachukua ubingwa hii ndio michezo ilikua inafanyiwa Yanga. Unakuta Simba anacheza Jumamosi Taifa anakuja Yanga anacheza Jumapili Taifa halafu anakuja anakucheza Arusha Jumatano mkoani huku Simba anakuja kucheza Alhamisi kwa Mkapa hapohapo.TFF waliiwekea Simba ratiba ngumu ya kucheza baada ya kila siku 3 ili kupunguza viporo ila kwa kuzingatia pia umbali wa viwanja, naona itabidi warudi tena mezani kurekebisha ratiba yao. Simba haiwezi kukubali kucheza Tabora halafu baada ya siku 3 icheze Dar, fck that.
Acheni kulialia, siku zote Simba na uto zinapokezana kwenye ratiba. Kuna wakati huyu anacheza leo mwenzake kesho, baada ya muda wanabadilishana anaanza huyu anafuata mwenzake. Hamna hoja hapo.Kama haya ndio mnayaona sasa basi misimu mitatu yote ambayo Yanga anachukua ubingwa hii ndio michezo ilikua inafanyiwa Yanga. Unakuta Simba anacheza Jumamosi Taifa anakuja Yanga anacheza Jumapili Taifa halafu anakuja anakucheza Arusha Jumatano mkoani huku Simba anakuja kucheza Alhamisi kwa Mkapa hapohapo.
Sasa angalia upangaji wa ratiba huo hiyo ilikua msimu juzi katika mechi za mwanzo mwanzo wa ligi.