Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Acheni kulialia, siku zote Simba na uto zinapokezana kwenye ratiba. Kuna wakati huyu anacheza leo mwenzake kesho, baada ya muda wanabadilishana anaanza huyu anafuata mwenzake. Hamna hoja hapo.
Soma kuelewa usisome kubishana kolo wizard. Hapo wamepokezana lakini umeiona hiyo ratiba?
 
Hawa wajiangalie wasije wakacheza playoff maana fixture yao sio nzuri kabisa
 
Acheni kulialia, siku zote Simba na uto zinapokezana kwenye ratiba. Kuna wakati huyu anacheza leo mwenzake kesho, baada ya muda wanabadilishana anaanza huyu anafuata mwenzake. Hamna hoja hapo.
Msimu wa 2022/2023 TFF iligoma kabisa kuhairisha matches za Yanga wakati anaelekea fainali Confederation Cup. Embu angalia msimamo wa msimu huo na msimu huu.
 

Attachments

  • FB_IMG_17456067218030411.jpg
    FB_IMG_17456067218030411.jpg
    387.4 KB · Views: 18
  • FB_IMG_17456067246943080.jpg
    FB_IMG_17456067246943080.jpg
    412.3 KB · Views: 18
Msimu wa 2022/2023 TFF iligoma kabisa kuhairisha matches za Yanga wakati anaelekea fainali Confederation Cup. Embu angalia msimamo wa msimu huo na msimu huu.
Sasa hapo ndiyo unaonyesha nini? Huo msimu wa 22-23, Simba ilifika hadi robo fainali wakati msimu huu uto imeishia makundi.

Pia ukichukua msimamo utakavyokuwa ikifika tarehe 05/05, tofauti itakuwa game 2 tu.

Usipoteze muda wako kwenye hili, kumbukumbu tu tulizonazo zinakuhukumu.
 
Dawa yao siku ya mechi tunawaomba mashabiki wake nyumbani watazame kupitia azam tv.

Hizi sheria za timu mwenyeji kubeba mapato yote zinaziumiza simba na yanga.
 
Back
Top Bottom