Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Uwanja wao una shida gani? Kama hauna shida basi TFF wanapaswa kurekebisha Sheria na kanuni kuhusu viwanja. Haiwezekani timu ijiamulie tu muda wowote bila sababu ya msingi kuacha kuchezea uwanja wake ambao walisema ni uwanja wa nyumbani na kwenda Kwenye kiwanja kingine.
 
Nyi mkienda Zanzibar nani hua anawaingilia?
 
Mim naona wamepeleka tabora ili kuongeza mauzo ya ticket
 
TFF waliiwekea Simba ratiba ngumu ya kucheza baada ya kila siku 3 ili kupunguza viporo ila kwa kuzingatia pia umbali wa viwanja, naona itabidi warudi tena mezani kurekebisha ratiba yao. Simba haiwezi kukubali kucheza Tabora halafu baada ya siku 3 icheze Dar, fck that.
 
Kanuni inaruhusu timu mwenyeji kwa kila nusu msimu kuamua kucheza match moja uwanja wowote wenye sifa.
 
Huyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.
 
Kwa uamuzi huu wa KMC basi ni lazima TFF wabadili ratiba. Simba hauwezi kuilinganisha na hivyo vitimu vidogo vidogo visivyojua hata maana ya kuipambania nchi.
 
Hata wangepeleka mechi nje ya nchi kipigo cha mbwa koko kwao kiko pale pale tuu
 
Wao na utopolo wanadanganyana sana
 
Kisheria wapo sahihi.
 
Acheni kudeka. Yanga msimu uliopita walikuwa wanacheza kwa kufuata ratiba ya aina hii hii. Kwanza hao KMC wangefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Yanga, mngekuja na zile porojo zenu za match fixing. Ila kwa sababu wamefanya hivi kwa timu yenu, mashavu yamewashuka.
 
Huyo Simba ana uspecial gani,mbona wenzake wanacheza ndani ya siku tatu leo timu inacheza Mbeya then kesho kutwa inacheza Mwanza. Mmesahau miliipangia Yanga hii ratiba ya siku tatu mikoa tofauti mkitegemea atadondosha points.
Hivyo vichwa vya kukumbuka wanavitoa wapi? Rage alikuwa sahihi sana tu.
 
Ingekuwaje match fixing kwa KMC kupeleka mechi yao na uto Tabora? Mbona sijakuelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…