Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Soma kuelewa usisome kubishana kolo wizard. Hapo wamepokezana lakini umeiona hiyo ratiba?Acheni kulialia, siku zote Simba na uto zinapokezana kwenye ratiba. Kuna wakati huyu anacheza leo mwenzake kesho, baada ya muda wanabadilishana anaanza huyu anafuata mwenzake. Hamna hoja hapo.
Ratiba gani wewe bwana unatumalizia tu makaratasiSoma kuelewa usisome kubishana kolo wizard. Hapo wamepokezana lakini umeiona hiyo ratiba?
Popobawa!Nyi mkienda Zanzibar nani hua anawaingilia?
Msimu wa 2022/2023 TFF iligoma kabisa kuhairisha matches za Yanga wakati anaelekea fainali Confederation Cup. Embu angalia msimamo wa msimu huo na msimu huu.Acheni kulialia, siku zote Simba na uto zinapokezana kwenye ratiba. Kuna wakati huyu anacheza leo mwenzake kesho, baada ya muda wanabadilishana anaanza huyu anafuata mwenzake. Hamna hoja hapo.
Sasa hapo ndiyo unaonyesha nini? Huo msimu wa 22-23, Simba ilifika hadi robo fainali wakati msimu huu uto imeishia makundi.Msimu wa 2022/2023 TFF iligoma kabisa kuhairisha matches za Yanga wakati anaelekea fainali Confederation Cup. Embu angalia msimamo wa msimu huo na msimu huu.