Club ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano

Hakuna mchezaji mwenye kiwango cha kumfikia Mbappe duniani kote.

Tatizo linakuja, akina nani watahamia mbao ndefu?, hilo swali jibu analo Anceloti na Perez
 
Siye.

Mkuu, naupenda mpira kwa kuufuatilia tokea nikiwa kabinti kadogo sana, na niliucheza sana pia.
Naam, naufahamu kiundani.
Asante
Nadhani umepitiwa tu! Lakini wewe ni mshabiki mzuri.
 
Mkuu Vin siyo mchezaji wa kuwaziwa kuwekwa benchi.
 
Yaani hawa Vini na mbappe kwa kuwa wote wanapenda kutokea kushoto mimi km kocha nawatupia wote kushoto mbona unyama tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…