#COVID19 CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

#COVID19 CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.
una uhakika serikali hailipi?

Hakuna kampuni ya chanjo inayowekeza hela kwenye tafiti, gharama za uzalishaji halafu itoe bure
 
CNN na vyombo vya kimataifa lazima sasa watuandike vizuri wenzetu kwenye soko huungana wanajua sisi chanjo hatuna kwa hiyo wanachekelea kuwa mteja huyo Tanzania anakuja

Na Mama Samia ataandikwa vizuri mno na vyombo vya kimataifa kwa kuwapelekea mteja wa chanjo ya Corona Tanzania!!

Hapo wanachelelea soko la chanjo zao kufunguka Tanzania
Kwani chanjo umelazimishwa? Au babaako na mamako wamelazimishwa?.

Usiwasemehe watanzania isemee nafsi yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]enzi mwendazake ulikuwa unashupaza shingo kweli kweli

Safi Sana #tutaelewana tu kidogo kidogo

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
CNN wanachofurahi ni soko la chanzo zao kufunguliwa Tanzania nothing else.Magufuli alikomaa kuwa sababu hajuna tiba tuwe na home grown solution ndio tukapiga maombi,piga nyungu kujifukiza na kula zetu tangawizi tukanusurika

Kwa hili wazungu hawakuwa na hamu na sisi sasa hivi lazima wachekeleee soko kupatikana
 
Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.
Na uzuri wa Corona ukiiletea dharau lazima ipite na wewe. Nkurunzinza alileta dharau naye ikampitia,chezea Corona weye.
 
Magufuli pamoja na mbwembwe zote, mikwara kibao, Covid imemlaza kaburini, na sasa watanzania wanaelekea kupatiwa chanjo!

Tutaelewana tu.
 
Ukiwagomea mabeberu watakuita majina yote. Wao ni permanent interest tu.
kuwavimbia kwenye issue ya Corona kulitujengea heshima kubwa

Sasa subiri waje wenyewe kuhakiki wakikuta hiyo inayoitwa Corona haipo ,mitaani watablack list watu kwa utapeli
 
Magufuli pamoja na mbwembwe zote, mikwara kibao, Covid imemlaza kaburini, na sasa watanzania wanaelekea kupatiwa chanjo!

Tutaelewana tu.
ungo mtupu hata akina Raisi SAMIA INGEKUWA KWELI KWENYE KUAGA NA MAZISHI WANGEVAA BARAKOA

Acha kusikiliza porojo za vijiwe vya kahawa
 
Hizo zilikuja zikiwa zilishathibitishwa hii chanjo ya majaribio ya Corona kachanjeni wenyewe na familia zenu hatutaki miili yetu kuwa test tube
Toa ushahidi solid ya kuwa hizo chanjo zilithibitishwa, most ya hizo chanjo zipelekwa Bongo wakati hata maabara hakuna au unamaanisha zilithibitishwa na mabeberu.
Mwisho wa siku chanjo Covid19 itakuwa obligatory kama enzi hizo zilivyokuwa chanjo za smallpox na polio, it's just the matter of time.
 
Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.
Naipendatz, umeliweka vizuri. Waache misukule wa Mwendazake waendelee kupinga kila hatua ambayo Rais SSH anafanya. Kiukweli hii sasa ndiyo Tanzania aliyoiasisi J K Nyerere.

Uzuri Tume ya Rais SSH imesema chanjo zije Ila mtu asilazimishwe kuchanja. Sasa kwa nini hawa akina YEHODAYA wasiopenda chanjo kwa nini wanatusemea sisi tunaotaka chanjo?

Huyo Nabii FAKE wao Mwendazake alipuuza ugonjwa CORONA, akapuuza barakoa na akasambaratishwa na CORONA
 
Mwisho wa siku chanjo Covid19 itakuwa obligatory kama enzi hizo zilivyokuwa chanjo za smallpox na polio, it's just the matter of time.
Hata waweke obligatory si kila mtu atachanja au ana haja nayo

Yellow Fever ni lazima kuchanjwa lakini si wote wana mpango wa kusafiri nje ya nchi na wengi hawaijui hiyo chanjo ya yellow fever inafananaje

Wenye safari za nje watatakiwa kuchanja ingawaje baadaye itazalisha ufisadi tu watu wanahonga anagongewa kuwa kachanja biashara imeisha.Kwa Afrika wanakuja tu ni kula pesa zetu tu.Mwamko wa micxhanjo wala haupo sana

ona hapo

DRC to return 1.3M COVAX vaccine doses before expiry​

By Sara Jerving // 29 April 2021

he Democratic Republic of Congo is returning 1.3 million doses of the Oxford-AstraZeneca COVID-19 vaccine to the COVAX Facility and UNICEF after determining it can’t administer them before they expire in June.

The country received 1.7 million doses through COVAX in early March. But the government decided to pause its rollout after the suspension of the vaccine’s use by several European countries due to concerns over blood clots. After the European Medicines Agency concluded that the vaccine’s overall benefit outweighs the rare risks associated, DRC launched its vaccination campaign on April 19, but has only administered about 1,000 doses.
Now the country says it can’t roll out all of the remaining doses on time. Dr. Matshidiso Moeti, World Health Organization’s regional director for Africa, said strong levels of vaccine hesitancy and gaps in the DRC health system that limit the country’s capacity to roll out vaccines quickly, may have led to the decision.

Studies conducted by the Africa Centres for Disease Control and Prevention several months ago, found that only 59% of respondents in DRC were willing to be vaccinated against COVID-19, whereas that number was 94% in Ethiopia.

But Dr. John Nkengasong, director of the Africa CDC, emphasized that African countries don’t currently have the “luxury” of choosing which vaccine to roll out, as opposed to other parts of the world, and urged populations to accept the vaccines available.

We do not have choices,” he said at a press conference on Thursday. “We have predominantly the AstraZeneca vaccine.”

Agreements to redistribute these vaccines from DRC are being finalized with the Central African Republic, Ghana, Senegal, and Togo, with shipments planned in the coming weeks, Moeti said.

The Serum Institute of India has indicated that the shelf life of the Oxford-AstraZeneca vaccines could be extended from six to nine months, but WHO is waiting for more data on this before it can issue guidance, she said.

SOURCE:DRC to return 1.3M COVAX vaccine doses before expiry
 
Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.
Inaelekea unapenda vya bure. Kufa ni kufa tu aidha kwa corona, ukimwi, malaria au accident. Rais wetu amekufa kama unaamini likufa kwa sababu ya corona ni sawa tu kwani ameshakufa
 
Waafrika badala ya kufanya utafiti tujue ni kwanini ugonjwa huu hatuathiri sana ili pengine tuweze pata clue ya namna gani tunaweza kuutokomeza kabisa katika nchi zetu, tunatumia muda mwingi kujadili chanjo na madhara yake.
 
Acha blabla. Mama.. chanjo ya polio, chanjo ya Surua, chanjo ya dondakoo, chanjo ya yellowfever..chanjo ya kifua kikuu zote zinatoka nje ya nchi..Meko alitengeneza chanjo gani??
Kuna watu wameshikiwa akili aisee, chanjo zote ulizotaja hapo tunaagiza nje, hata hivo ARV ni misaaada, lakini linapokuka suala la korona tunasema za mabeberu.
 
Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.

Hao wenye chanjo na sisi tusio na chanjo tofauti yetu ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom