Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kamati aina hata idadi ya wagonjwa waliopo hospitali sasa inahitimisha vipi ugonjwa bado ni tatizo.
Ukiangalia YouTube hits za video kwenye tukio la kukabudhi utafiti hazina ata views 2000.
Same goes na matukio mengine ya mama people don’t follow her as much kama ilivyokuwa kwa Magufuli, she has managed to lose the interest of Tanzanian in very shot space of time.
If anything interest iliyoonyeshwa based on YouTube views watanzania habari za COVID sio jambo linalowanyima usingizi.
Sio kusema chanjo sio jambo muhimu kwa wale wanaohitaji.