Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Vikiandika ukweli mnavifuta kwenye industry ya Habarivyombo vya ndan huwa tu kazi yao kuandika hotuba zake
Mama hawezi kupinga ajenda za hao jamaa kashaingia kwenye laini yao tayariNyimbo inapigwa ulaya samia anademka Tz
Acha blabla. Mama.. chanjo ya polio, chanjo ya Surua, chanjo ya dondakoo, chanjo ya yellowfever..chanjo ya kifua kikuu zote zinatoka nje ya nchi..Meko alitengeneza chanjo gani??
Huyo sio shujaa wa Afrika bali ni punguani wa AfrikaShujaa wa Africa leo anaitwa Covid denying President.....teh
Sema ushuzi, kijambo ni msamiati mkubwa sana kwa huyu kibaraka mpenda bure. Atapewa hadi KY liquid bure huyo na atachekelea.Hakuna kitu cha bure duniani. Labda kijambo chako. Utalipia kupitia kodi yako maka.. wewe..
I felt honoured because presdent magufuli did'nt like much travellingShujaa wa Africa leo anaitwa Covid denying President.....teh
Mbona ndege zao mlizikimbilia wenyewe, chanjo zao mnazikataaje?CNN na vyombo vya kimataifa lazima sasa watuandike vizuri wenzetu kwenye soko huungana wanajua sisi chanjo hatuna kwa hiyo wanachekelea kuwa mteja huyo Tanzania anakuja
Na Mama Samia ataandikwa vizuri mno na vyombo vya kimataifa kwa kuwapelekea mteja wa chanjo ya Corona Tanzania!!
Hapo wanachelelea soko la chanjo zao kufunguka Tanzania
And we Tanzanians have asked the government to make sure that Madam President and her family plus all retired Presidents and their families are the first to be vaccinated, because we love them and we want them to live longer! We ordinary Tanzanians can wait!!!!
Ukiwagomea mabeberu watakuita majina yote. Wao ni permanent interest tu.
Unavaa chupi na bra za mabeberuTanzania tulimuomba MUngu atuepushe na hilo shetani la Corona na Mungu AKATUSHINDIA sisi sio washirikina
Huko unakosema sio washirikina wanavaa barakoa na wazingatia masharti yote ya kujikinga na wamechoma chanjo lakini kila siku wanakufa kama kuku
Sisi hatuna mpango tumeomba Mungu na kujifukiza na kula tangawizi zetu tunadunda mitaani kama kawaida hakuna cha barakoa wala nini ,kwenye daladala tunashonana kama kawaida na huoni watu wakifa ovyo kama kwao
Chanjo ya COVID-19 katika baadhi ya Mataifa imeonekana inaathiri waliochanjwa baada ya muda mfupi, je athari za muda mrefu zitakuaje?CNN na vyombo vya kimataifa lazima sasa watuandike vizuri wenzetu kwenye soko huungana wanajua sisi chanjo hatuna kwa hiyo wanachekelea kuwa mteja huyo Tanzania anakuja
Na Mama Samia ataandikwa vizuri mno na vyombo vya kimataifa kwa kuwapelekea mteja wa chanjo ya Corona Tanzania!!
Hapo wanachelelea soko la chanjo zao kufunguka Tanzania
Hujui chochote wewe!Ungejua hizo chanjo zilivyo bei rahisi usingeandika huu upupu wako, huku nilipo mimi wote tumepewa chanjo bure. Zimbabwe hadi muda huu washapewa chanjo za bure zaidi ya mil. 2,na mtu wa kwanza kuchanjwa alikuwa Mnangagwa, nyie kaeni na upuuzi wenu mliojazwa na marehemu ambaye corona hiyo hiyo ilimuondoa sababu ya kuamini upuuzi kama huu unaoamini wewe.
una uhakika serikali hailipi?
Hakuna kampuni ya chanjo inayowekeza hela kwenye tafiti, gharama za uzalishaji halafu itoe bure
WHO = WORLD HEALTH ORGANIZATION takes care of global health threats!una uhakika serikali hailipi?
Hakuna kampuni ya chanjo inayowekeza hela kwenye tafiti, gharama za uzalishaji halafu itoe bure
Shujaa gani muoga vileShujaa wa Africa leo anaitwa Covid denying President.....teh
Hutalazimishwa endapo utabaki Tz, kama ukitoka nje ya Tz basi chanjo sio ombiHizo zilikuja zikiwa zilishathibitishwa hii chanjo ya majaribio ya Corona kachanjeni wenyewe na familia zenu hatutaki miili yetu kuwa test tube
Atake asitake......malizia hii sentensiShujaa wa Africa leo anaitwa Covid denying President.....teh