CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

Hapo uliponiquote point out kipi si kweli nilichoandika.
 
Hata kama una Bima lakini ventilators hazitoshi
Look sisi tunajiingiza kwenye Mega projects lakini hospitali zetu utasema ni machinjio ya wagonjwa
Maji safi na salama hakuna ila tunaenda kununua Ndege kubwa na ghali sana kwa cash


Ah bwana usinipe hasira kwa siku ya leo..!
 
Asili ya Mwanadamu ni Afrika, asili ya virusi vipo kabla ya Mwanadamu

Ogopa sana madawa ya kuchanganywa na mikono ya mwanadamu

Mwili ukizoea madawa ndio unabweteka

Tangazo hili limedhaminiwa na Kvant
Safisha koo lako wakati huu wa Pasaka
 
Uwe optimistic sio kila wakati unawaza watu wafe wafe!!
haya nakuwa optimistic : Napanda juu ya mti mrefu najiachia (najisemea kimoyomoyo kuwa hakuna acceleration due to gravity) nikianguka sitaumia.... lazima kuwa optimistic, siyo kila mara Accln due to gravity italeta maafa kwangu....
 
Kila mtu ana mtihani wake.
USIGEZEE MAJIBU YA MWENZIO
walifanya makosa kama tunayoyafanya now! Wanatutahadhalisha tusifanye makosa hayo

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Kwa hiyo virus hatashambulia alveolis ?

utashambuliwa, lkn madhara hayatakuwa makubwa kama nyie ambao mnakaa kwenye kiyoyozi kuanzia nyumbani, kwenye gari mpaka kazini na jioni hivyo hivyo. Halafu diet mbovu. Lazima vikupige kabali tu.
Fitness life pays.
 
Watanzania siku hizi hawatembei tena, bodaboda, bajaji na chipsi-yai ndiyo mpango mzima, sisi siyo tena vizazi vya 1970-1980s. Angalia hata miili yetu, tudogo dogo halafu linganisha na watanzania wa zamani.

Mimi naona, corona ni kama teknolojia, inaanzia kwanza huko mbele halafu ndiyo inakuja kwetu. Sisi bado, na tena tunavyocheza nayo na kuitungua vichekesho, sijui! Umaskini wetu unaweza kuwa umetuokoa. Hatuna volume kubwa ya wageni na interaction yetu nao hata wanapokuja huwa ni ndogo sana tofauti na nchi za kitalii kama Italy na Spain.

Cha muhimu waafrika hasa viongozi waache kuwa naive. Kuna watu tunawaita marafiki, ikiwemo wachina ambao wakipata nafasi ya kutuangamiza watafanya hivyo. Sijui kwa nini viongozi hawalioni hilo. Wamekalia tu mabeberu, mabeberu!


 
Umesikiliza/kuangallia CCN leo?

Ndio nimeangalia.

Kuna li Nigeria moja limehojiwa na CNN ndio limesema hayo!

Director of African Center for Disease Control and Prevention, litaasisi sijui la wapi huko, hatujawahi kulisikia na kama lipo legit basi halitupangii health policy.
 
Wewe unayesubiria wazungu wake wakusaidie, endelea kusuniri. Mimi na familia yangu tunahakikisha tunachukua tahadhari zote kama tunavyoshauriwa na Serikali na zingine naongeza zangu binafsi. Na nakuakikishia, mimi na familia yangu tutabaki salama na Corona itapita.
 
I subscribe to your view. Wanachokifanya CNN na the Bill Gate Foundation ni kuspread fear tu among Africans ili agenda yao ya chanjo ifanikiwe.

It is true that we have our serious challenges but I don't African states will be seriously hit by corona virus as European states are going through.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And they startled kuona mpaka sasa hatujathirika vya kutosha kama wanavyoteseka wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa na negativity ?Wewe haujawahi kuchanjwa chanjo yeyote ?Bila chanjo wewe ungekufa kwa surua au ungeshaugua polio. Kwenye chanjo kuna protocols bwana.Acheni kupayuka payuka ujinga.

Nov 11, 2014
by Fredrick Nzwili, Religion News Service

World
NAIROBI, KENYA — A disagreement between the Catholic church and the government over a tetanus vaccine aimed at women in their childbearing years has clergy urging people to shun the injection, saying it's a stealth population-control ploy.

On Tuesday, the bishops appearing before the parliamentary health committee said they had tested the vaccine privately and were shocked to find it was laced with a birth control hormone called beta human chorionic gonadotropin.

"We are calling on all Kenyans to avoid the tetanus vaccination campaign because we are convinced it is indeed a disguised population control program," said Bishop Paul Kariuki, chairman of the Kenya Conference of Catholic Bishops' health committee.

The tangle began in March, when bishops became suspicious about the vaccine, which was targeted at women in the reproductive ages of 14 to 49, and excluded boys and men.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…