mbona hata mafua ya kawaida huwa yanawachapa sanaaaa wanakufaga kimyakimya miaka yote kwa malaki lakini africa hali huwa haiwi hivyo jiulize kwa nn wao hufa sana kwa mafua ila sisi afrika mafua sio tatizo kubwa pamoja na uduma zetu duni za afya anzia hapo kudasisi. corona naigeria pale imefika toka february hadileo vifo havija fika 100 tena vifo vingi vya nageria ni vya kubumba mtu alikuwa mgojwa maututi kabla ya corona unambiwa kafa kwa corona swali la kujiuliza je nigeria imezishinda nchi za italy, iran, marekan, japan, china, spain, korea kusin, ufaransa, na uingereza kwenye sayansi ya kupambana na mambukizi ya corona? kama jibu ni hapana anzakufikilia upya katika njia zingine za asili zinazo ilinda africa ambazo nchizilizo endelea hazina uwezo huotumekusikia.... kama wao na world class health care wamekamatwa hivi, ikifika kwetu per se tutafanya nini? weka kando neno wasitutishe...
Sent using Jamii Forums mobile app