CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

Hatuwezi kupotea kirahisi hivyo tutachimba hata maandaki tuishi humo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kuchimba mashimo ambayo wao watakuja kuyafukia ili yawe makaburi yetu ya kudumu

Tumia Mind yako vizuri hayo mahandaki yachimbe ndani ya Mind yako toa elimu kwa jamii yako inayokuzunguka mjue adui yako kwanza ndio utaielewa vita
 
👍👍👏👏
 
Mkuu nadhani title ilipaswa kukarabatiwa kidogo. Title kama ilivyo inakuwa haiko sahihi sana kwa sababu katika Afrika hii hii kuna nchi zimechukua hatua kali kabisa dhidi ya janga hili na zinakwenda vizuri.

Rwanda na Afrika kusini hawa kwa hakika wako vizuri sana. Wanaendelea kufagia fagia vi Corona virus vichache vilivyo bakia. Wanaelekea kwenye kuiondoa lockdown wazuie sasa maambukizi tokea nje ambayo itakuwa rahisi zaidi.

Uganda na Kenya hali kadhalika wako vizuri. Hali imedhibitiwa kwa kiasi cha kuridhisha japo si kwa kiwango cha Rwanda au South Africa.

Nadhani subject yako hapo juu inatuhusu sisi sana yaani Tanzania. Kwa uswahili tuliotanguliza kwenye huu ugonjwa hatuna tofauti na Abunwasi aliyekuwa akiaswa kuwa kwa upande wa tawi aliokaa na kuwa anakata tawi hilo ni dhahiri kuwa ataanguka.

Hatimaye japo anga tumefunga sasa, ni hatua njema lakini haitusaidii sana kwani hatua hii (ya kuuzuia ugonjwa usiingie) imechelewa na hatari yetu imeshahamia mno kwenye maambukizi ya ndani.

Tunajivuta mno kuchukua hatua na hii ndiyo itakayo tumaliza.

Mkakati upi tulio nao kuzuia maambukizi ya ndani?
 
Wewe pia ni mjinga, umekazia njia za Hygiene peke yake bila kujua kuwa huyu kirusi anakaa pia kwenye hewa kwa masaa kadhaa.

La muhimu zaidi ya yote ni kuepuka misongamano, maana unaweza kunawa mikono na bado mtu akapiga chafya ukaupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani title ilipaswa kukarabatiwa kidogo. Title kama ilivyo inakuwa haiko sahihi sana kwa sababu katika Afrika hii hii kuna nchi zimechukua hatua kali kabisa dhidi ya janga hili na zinakwenda vizuri.
That is a replica of what was read from the bottom bar of CNN Tv and the ongoing discussions! Nakubaliana na wewe kuwa kuna nchi zimechukua hatua kali sana kama Rwanda, Uganda etc.
 
Hatimaye japo anga tumefunga sasa, ni hatua njema lakini haitusaidii sana kwani hatua hii (ya kuuzuia ugonjwa usiingie) imechelewa na hatari yetu imeshahamia mno kwenye maambukizi ya ndani.
Hapo umenena. Tumechelewa, hilo lingelifanyika mwanzo kabisa kuzuia watu wasije, sasa tunasubiri incubation time to ripe and then we rip!
 
That is a replica of what was read from the bottom bar of CNN Tv and the ongoing discussions! Nakubaliana na wewe kuwa kuna nchi zimechukua hatua kali sana kama Rwanda, Uganda etc.

Mkuu nakuelewa: Ila wangeijua hali yetu halisi hawakuwa na haja ya kutupa jiwe gizani. The bottom should have been:

Tanzania in existential threat

Hapo wangekuwa wamelenga penyewe. Ni aibu mno kuwa tupo tunasubiria mwuujiza wakati wanyonge kuliko sisi wanachukua hatua.
 
Hapo umenena. Tumechelewa, hilo lingelifanyika mwanzo kabisa kuzuia watu wasije, sasa tunasubiri incubation time to ripe and then we rip!
Hivi ni shirika lipi la kimataifa bado lilikuwa likifanya safari zake ?Najua Emirates walifunga.
 
Hivi ni shirika lipi la kimataifa bado lilikuwa likifanya safari zake ?Najua Emirates walifunga.
Sijui lkn nadhani mengi yalishafunga kuja ie wao kwao walikuwa wamefunga in and out routes!
 
Sahizi hakuna shirika la nje linalofanya safari zaidi ya ndege zetu tu za ndani .
Basi hapo hakuna effects labda kwa private jets. Ila pia ni mtu gani anasafiri kutoka nchi za nje kuja Tanzania ?Akifunga mipaka ya nchi kavu hapo ndo nitamuona mwanaume.
 
Sahizi hakuna shirika la nje linalofanya safari zaidi ya ndege zetu tu za ndani .

Ina maana tumeenda hadi mashirika ya kuja yote yakaisha kwa kusimamisha safari zao? Ndiyo sasa tunajitoa kimasomaso?
 
corona Mungu aepushie mbali,yanayoteokea Amerika, Italy na hispania ingekuwa Afrika watawala wangesha uza nchi zao kupata misaada toka kwa wazungu
 
ivi kwa nin watu hamfikirii side b mnasikiliza maneno ya vyombo vya habari vya kipropaganda walisema wametoa wiki 2 africa watu watakufa kama kuku haya je tumekufa kama kuku? hiyo corona niugojwa wa kawaida mno mana wengi wanapona tena bila dawa vp ugojwa wa namna hiyo useme utaimaliza africa? acheni kuogopa vitisho vya kasumba za mainstream media ndio vinavyo uwa watu ila ugojwa wenyewe ni wakawaida sana kwa mtu mwenye afya njema hatadalili hazioni mpaka kipimo kinakuja kutest negative sasa jambo la msingi ni kujua kuwa watu wanakufa kwa maelfu kila siku africa kwa magojwa mbalimbali na maisha yanaendelea tuu na ndio balance of nature mana maelfu pia wana zaliwa sasa mtu asitake kututisha na ugojwa ambao unapona wenyewe kuwa tuta isha ni akili za kushikiwa na kasumba za kijinga tuwe tunajiongeza wafrica wwnzangu tuchukue tahadhari tusiendekeze hofu inayopitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nadhani ukiumwa corona huitaji kulazwa hosptali hii ndio inawacost watu huko ulaya na ni uwoga na hofu walio jazwa mana katika wagojwa 1000 wa corona ni wagojwa wasiozidi 25 ndio huwa maututi wengine wote wanaweza kujitenga wenyewe hata majumbani tuu kama elimu itatolewa na watu wataondelewa hofu iliyo pitiliza ambayo ndio tatizo kubwa kuliko hiyo corona yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…