CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

tumekusikia.... kama wao na world class health care wamekamatwa hivi, ikifika kwetu per se tutafanya nini? weka kando neno wasitutishe...
mbona hata mafua ya kawaida huwa yanawachapa sanaaaa wanakufaga kimyakimya miaka yote kwa malaki lakini africa hali huwa haiwi hivyo jiulize kwa nn wao hufa sana kwa mafua ila sisi afrika mafua sio tatizo kubwa pamoja na uduma zetu duni za afya anzia hapo kudasisi. corona naigeria pale imefika toka february hadileo vifo havija fika 100 tena vifo vingi vya nageria ni vya kubumba mtu alikuwa mgojwa maututi kabla ya corona unambiwa kafa kwa corona swali la kujiuliza je nigeria imezishinda nchi za italy, iran, marekan, japan, china, spain, korea kusin, ufaransa, na uingereza kwenye sayansi ya kupambana na mambukizi ya corona? kama jibu ni hapana anzakufikilia upya katika njia zingine za asili zinazo ilinda africa ambazo nchizilizo endelea hazina uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza fahamu ugonjwa huu kwa Tanzania walionao hawafiki hata 1%. Tatizo lililopo ndio hilo la usafi wa kwako mwenyewe. Vile vile kuangalia kama umeathirika usiueneze kwa wengine.

BTW unasema misongamano kwani upepo unatafuta kwenye misongamano tu? Mnaweza kuwa kwenye misongamano na kama hakuna mwenye huo ugonjwa hakuna kuambukiza kitu chochote, Come outside the box? Mjadala umeurukia tu Je, unafahamu kiini cha mimi kusema niliyoandika? Wacha kukurupuka mkuu hujafukuzwa!
 
Mie nnachoomba na hizi mvua tuepushwe na magonjwa mengine ya mlipuko kama kipindupindu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…