CNN: Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

CNN: Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

Casper nyovest ilitakiwa awe namba moja katika hiyo rank sijaona msanii wakumzidi casper
CCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.
 
CCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.
Sa si bora hii
 
Going beyond next level.... [emoji123][emoji123][emoji123]
Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

Wasanii wengine ni

1. Burna Boy: Nigeria
2. Angelique Kidjo: Benin
3. Diamond Platnumz: Tanzania
4. Yemi Alade: Nigeria
5. Tiwa Savage: Nigeria
6. Wizkid: Nigeria
7. Mr.Eazi: Nigeria
8. Sho Madjozi:Afrika Kusini
9. Busiswa Gqulu: A. Kusini
10. Slapdee: Zambia

View attachment 1272046
 
Yani apo Diamond kawa na sura nzr kichiz, unaweza sema sio yule wa ‘Nenda Kamwambie’
Kweli ukuavyo ndo ujiumbavyo
 
Duuuu Hii list kwa maoni yangu haijakamilika vizuri but kama inafurahisha ya watu acha iwe hivyo hivyo. Sikujua kama Angélique Kidjo bado anaimba ningetamani na Koffi Olomide,Fally Ipupa na Cassper Nyovest wawepo kama nafasi ingepatikana
 
Hahahahaaaaaa watu hawazungumzii kutowepo DAVIDO WANAKOMAA NA KING king wasamehe mbuzi MAJI hawa....aisee davido hayupo hahahahaaaaa upuuzi wa mwaka.
 
Back
Top Bottom