Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
CCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.Casper nyovest ilitakiwa awe namba moja katika hiyo rank sijaona msanii wakumzidi casper