Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
CCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.Casper nyovest ilitakiwa awe namba moja katika hiyo rank sijaona msanii wakumzidi casper
CCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.
😂😂😂 kumbe na ww umeona inawezekana adeleke ni dancer sio msaniiThis list is invalide since no David Adeleke among them.
Sa si bora hiiCCN tokalini wanafuatilia mziki 😂 ila kuna kitu naona hakiko sawa yawezekana hii sio list og ni bluff hii kunawatu wameeditiwa hapo mleta uzi aweke link tupitenayo wenyewe tujione kama ni kweli.
😂😂😂 CNN waombe radhi kwakweli kwa huu upuuzi waliouchapisha yaan hiki nikichekesho adeleke tuzo zote alizoshinda bado hatambuliki tu 😢
bora hata hiiSa si bora hii
10 Most Popular African Music Singles - Africa.com
Some popular African music singles to add to your playlist for your next party, including Kenya's Sauti Sol, and Nigerian hitmaker Davido.www.africa.com
Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri
Wasanii wengine ni
1. Burna Boy: Nigeria
2. Angelique Kidjo: Benin
3. Diamond Platnumz: Tanzania
4. Yemi Alade: Nigeria
5. Tiwa Savage: Nigeria
6. Wizkid: Nigeria
7. Mr.Eazi: Nigeria
8. Sho Madjozi:Afrika Kusini
9. Busiswa Gqulu: A. Kusini
10. Slapdee: Zambia
View attachment 1272046
Wapi kondeboy
Upande wa pili hatupend show off na msainii wetu tupo taboraUpande wa pili wanabustiwa kwa nguvu lakini hawabustiki [emoji38][emoji38][emoji38]
Clauds na EATV wanateseka na zigo lao lisilobebeka
[emoji3][emoji3]na mashati yenu kama ya waimba kwayaUpande wa pili hatupend show off na msainii wetu tupo tabora
Nakazia hapohapo, lol.....!Atakuwa ka wanunua CNN.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who are they now daysThis daylight robbery no Davido no Gasper Nyovert no Sarkodie
Acha uongoAaron Arsenal, Burna boy mbona hamfikii hata pantoranking.
Na BBC pia usisahau VOA zoteAcheni sifa sasa mbona Aljazeera na Fox news wanamtaja King wetu ila hajitangazi..