PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naamini ambaye yuko salama ni Abduli peke yake
Wewe
 
Sahihi kabisa halafu nilishangaa kuona CDF anatoka kwenye vyombo vya habari na kuwaita waandamani wahalifu,jamanii kweli??
 
Dah.. Tanzania yangu machoni pa dunia. We need to recreate the new good image of this nation.

VIongozi wakitazame kizazi cha Tanzania kuliko maslahi yao. No one will be safe and enjoy life kama amani ikitoweka kwa sababu tu haki za watu zilipotea.

Serikali ilishindwa kutimiza wajibu wake.
 
Kwamba kulikuwa na uharibifu na uchomwaji wa miundombinu, hakubishwaniwi. Hoja ni kwamba karibu wote waliouawa walikuwa mbali na uharibifu uliokuwa ukiendelea. Kwa hiyo, unawahusishaje hao na uharibifu huo? Polisi inabidi watoe ushahidi wa hata mhanga mmoja aliyeuawa akiwa akifanya uhalifu fulani. Aidha, hakuna hata mhanga mmoja aliyekuwa na silaha. Hivyo, iliwezekana kabisa kumthibiti mtu kama huyo kwa kumshika na kumpeleka kunakohusika. Ikibidi, iliwezekana hata kumpiga risasi miguuni ili ashindwe kukimbia. Siyo kumuua kwa kumtuhumu tu kwamba alikuwa mhalifu.
 
Samia alisema baadhi ya waandamanaji walitoka nchi za jirani....
Au huyu mama amechanganyikiwa?
 
tpaul
 
Video wametumiwa whatsapp waliowatumia hawajatuma na vulugu za raia kaka maana hakuna video mpya hapo
 
CNN’s Oliver Sherwood contributed to this report ni Nani? Maana yake.

Based on my research, there is no publicly known CNN journalist named “Oliver Sherwood.”
 
Hapo umehongwa buku 5 tu usha uza utu wako!
Sihitaji kuhongwa hata senti tano. Bali jibu swali langu, ingekuwaje kama ule uhalifu usingedhibitiwa ndani ya muda mchache
 
mlifikiri mtaficha ushenzi aliofanya huyo shetani na genge lake, ndio wameanza,Samia akija kushtuka atakuwa amezungukwa kila kona,wapumbavu kama wewe endeleeni kumpa moyo
Tungekuwa wapi bila risasi za moto dhidi ya wale waharibifu?
 
Wewe na Polisiccm mlivua nguo zenu mkaiba mkapora mkachoma vituo ili mupute kisingizio cha kupiga watu risasi wezi wadokozi mlikuwa nyinyi wenyewe ndiyo maana mliweza kusafirisha vitu mlivyopora bila tatizo
Tukachoma na Mwendokasi na Lake Oil ??
 
Hao watu 10,000 ndiyo wamezikwa pale ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…