PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyumbu wewe rudi shule acha kushinda mitandaoni huku kichwa kikiwa kitupu
nyie machoko mmeuwa watanganyika gizani mkajua mmeweza haaahaa nyie wote ni makondoo maprimitive msio na intelligency hata kidogo mapumbavu Dunia imewaumbua na Hapo bado
 
nyie machoko mmeuwa watanganyika gizani mkajua mmeweza haaahaa nyie wote ni makondoo maprimitive msio na intelligency hata kidogo mapumbavu Dunia imewaumbua na Hapo bado
Usiseme wameua watanganyika sema wameua nyumbu wezi na waharibifu wa mali.

Katika hayo makabiliano na nyumbu ndo hapo wakauwawa watu wasio na hatia pia maana risasi haina macho.

Ila safari ijayo usijali hatakufa tena asie na hatia kila nyumbu atakufa mbele ya mali aliyoiba au aliyoharibu.

Hakuna huruma katika kuuwa nyumbu wahalifu.
 
Unajua sharti la mauaji kuitwa mauaji ya kimbari? Au darasani ulikua unamuangalia mwalimu kwenye rula?
wengine wanaita jinosaidi, masaka, kimbari na uhalifu wa ubinadamu, sasa haya yana hadhi gani?
 
wengine wanaita jinosaidi, masaka, kimbari na uhalifu wa ubinadamu, sasa haya yana hadhi gani?
yaulize hayo ma primitive makondoo ya ccm mapumbavu mashetani hayo laazima muachie hili taifa manina zao
 
Wakiiona itakua funzo kwao kuwa haitakiwi kuiba wala kuharibu mali za watu
 
sheria namba ngap inasema umpige risas mtu anaeandamana ?
 
Sikujua kumbe huyu master Tindwa nae alikua ni mwizi na mharibifu kutoka genge la vibaka ndio maana akapigwa risasi?


View: https://x.com/CloudsMediaLive/status/1986074986029752475?t=y6PnCUBuCSs7C21gOHV5Og&s=19
Kumbe hata Sheikh Sharif Majini nae alikua kibaka aliyekaa kwake tu risasi ikamfikia sababu alivunja nyumba yake na kuanza kupora?
 
Wanao andamana kukataa vitendo vya utekaji na ukweukwaji wa haki wamekua waharifu halafu wauaji na watekaji ndio wamekua watu wema!?
Siyo waharifu ni wahalifu, hebu someni japo madarasa ya QT
 
Kwahiyo, kwa mujibu wa SHERIA zenu wezi na waharibifu wa MALI (ZENU NYIE) wanapigwa risasi za chuma???
 
Huyu mama ICC inamhusu 100%. Hakuna anavyoweza kukwepa kunyongwa kwa kutekeleza haya mauaji ya halaiki.
 
DW Duniani Leo wameweka taarifa hii youtube lakini naona TCRA wameiblock. Naomba aliyefanikiwa kuidownload anisaidie tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…