TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wanabebwa Sana na vidomodomo vyaoWakenya wanabebwa na lugha. Nahisi hata kwetu ingepewa kipaumbele. Kujua lugha mbili kwa ufasaha si jambo baya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabebwa Sana na vidomodomo vyaoWakenya wanabebwa na lugha. Nahisi hata kwetu ingepewa kipaumbele. Kujua lugha mbili kwa ufasaha si jambo baya.
Kama speaker wenu hajui kuhesabu tarakimu ni mkenya yupi mwingine atajua?Sasa wewe ndio mpumbavu wa mwisho kama unatoa mfano wa Mkenya mmoja halafu unageneralize kwamba Wakenya wote hawajui kiswahili. Huo ni ujinga.
Sasa unataka Sam Mahela achukuliwe vipi na CNN halafu Larry Madowo asichukuliwe ikiwa Larry ametangaza BBC North America kwa miaka kadhaa sasa kwa kutumia lugha ya kizungu? Larry pia amefanya masters in journalism at Columbia university, USA. Larry mtu ambaye amefanya kazi BBC tena sio kiswahili service bali english service unaweza kumlinganisha na huyo Sam Mahela? Larry ambaye ana masomo ya hali ya juu ya masters from an Ivy league university ya USA unaweza kumlinganisha na Sam Mahela? Larry ambaye alipokuwa BBC North America aliripoti kwa kutumia lugha ya kingereza matukio haya: kuuwawa kwa George Floyd huko Marekani na maandamano yaliyofuata. Corona virus pandemic ya Marekani na uchaguzi wa Marekani wa mwaka wa 2020. Larry huwezi kumlinganisha na Sam Mahela.Mimi Sam Mahela TBCccccccccc
Tony umechukuwa serious mimi najuwa kachukuliwa mtu anajielewa natoa changamoto tu ya watangazaji wetu kuwa wako nyuma sana tena sana. Sisi wa Tanzania huwa tunalalamika hawa wa Kenya wanatuzidi lakini nimesema hata ingekuwa wanatafuta mtangazaji kwa Kiswahili wangechukuwa toka Kenya sababu sisi watangazaji wetu upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana au hakuna kabisa.Sasa unataka Sam Mahela achukuliwe vipi na CNN halafu Larry Madowo asichukuliwe ikiwa Larry ametangaza BBC North America kwa miaka kadhaa sasa kwa kutumia lugha ya kizungu? Larry pia amefanya masters in journalism at Columbia university, USA. Larry mtu ambaye amefanya kazi BBC tena sio kiswahili service bali english service unaweza kumlinganisha na huyo Sam Mahela? Larry ambaye ana masomo ya hali ya juu ya masters from an Ivy league university ya USA unaweza kumlinganisha na Sam Mahela? Larry ambaye alipokuwa BBC North America aliripoti kwa kutumia lugha ya kingereza matukio haya: kuuwawa kwa George Floyd huko Marekani na maandamano yaliyofuata. Corona virus pandemic ya Marekani na uchaguzi wa Marekani wa mwaka wa 2020. Larry huwezi kumlinganisha na Sam Mahela.
Wewe upeo wako wa kuchambua ndio unaweza kuwa haupo kabisa, unataka wawe wanahoji upumbavu wa mbowe au lissu? Ninachopendea media zetu ni kwamba zinamtambua kilaza mapema sana na zinakua very strictly kuikinga Jamii from consuming pumba from them, ndio maana hawawapi airtimeTony umechukuwa serious mimi najuwa kachukuliwa mtu anajielewa natoa changamoto tu ya watangazaji wetu kuwa wako nyuma sana tena sana. Sisi wa Tanzania huwa tunalalamika hawa wa Kenya wanatuzidi lakini nimesema hata ingekuwa wanatafuta mtangazaji kwa Kiswahili wangechukuwa toka Kenya sababu sisi watangazaji wetu upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana au hakuna kabisa.
Kwa habari yako Wakenya zaidi ya 98% wanakifahamu na kukizungumza lugha ya kiswahili. Kiswahili chetu ni tofauti na chenu lakini ukweli ni kwamba ukija Kenya utapata kwamba hakuna lugha kinachozungumzwa hapa zaidi ya kiswahili. Tembea Kenya usiwe unajifungia katika nchi yako. Watanzania waliosomea Kenya washakueleza kwamba huku tunazungumza kiswahili japo nakiri kwamba sio kiswahili sanifu kama chenu. Unaweza pinga ukitaka lakini ukweli utabakia kuwa ukweli. Just because kiswahili chetu ni tofauti na chenu hakumaanishi kwamba hatukizungumzi.Kama speaker wenu hajui kuhesabu tarakimu ni mkenya yupi mwingine atajua?
Hata radio zenu za kiswahili na matangazo yenu yote ya kiswahili huongea yote kwa kiswahili Lakini wakija kwenye numbers tu lazima watumie English sababu wanajua wakenya wote hawajui kiswahili kabisa
Am sure ile hotuba ya samia bungeni kwenu ni less than 10% Kenyans ndio walimuelewa alichokua akizungumza, wengine wote mlikua mnasikia maruerue tu
Kiswahili kipi? Hiki? Hata kumake sentence ilikua shida 😅😅😅Kwa habari yako Wakenya zaidi ya 98% wanakifahamu na kukizungumza lugha ya kiswahili. Kiswahili chetu ni tofauti na chenu lakini ukweli ni kwamba ukija Kenya utapata kwamba hakuna lugha kinachozungumzwa hapa zaidi ya kiswahili. Tembea Kenya usiwe unajifungia katika nchi yako. Watanzania waliosomea Kenya washakueleza kwamba huku tunazungumza kiswahili japo nakiri kwamba sio kiswahili sanifu kama chenu. Unaweza pinga ukitaka lakini ukweli utabakia kuwa ukweli. Just because kiswahili chetu ni tofauti na chenu hakumaanishi kwamba hatukizungumzi.
Asante. Nimekuelewa sasa.Tony umechukuwa serious mimi najuwa kachukuliwa mtu anajielewa natoa changamoto tu ya watangazaji wetu kuwa wako nyuma sana tena sana. Sisi wa Tanzania huwa tunalalamika hawa wa Kenya wanatuzidi lakini nimesema hata ingekuwa wanatafuta mtangazaji kwa Kiswahili wangechukuwa toka Kenya sababu sisi watangazaji wetu upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana au hakuna kabisa.
Mbowe na Lissu wametoka wapi tena mbona mapovu? nimesema hawawezi kuuliza serikali tu maswala muhimu wewe umesharukia Mbowe. siwalaumu CNN kuchukuwa wa kenya kwa akili hizi tutaburuzwa sana tu.Wewe upeo wako wa kuchambua ndio unaweza kuwa haupo kabisa, unataka wawe wanahoji upumbavu wa mbowe au lissu? Ninachopendea media zetu ni kwamba zinamtambua kilaza mapema sana na zinakua very strictly kuikinga Jamii from consuming pumba from them, ndio maana hawawapi airtime
Kiswahili kipi? Hiki? Hata kumake sentence ilikua shida 😅😅😅
Utaburuzwa na nani bro mbona una akili finyu sana? Yaani unataka kuleta national level competition kwenye kijinafasi cha kureport cnn? Kisa mkenya kapata kicho kibarua cha kujishikiza hapo cnn ndio anawaburuza watanzania zaidi ya million 60?Mbowe na Lissu wametoka wapi tena mbona mapovu? nimesema hawawezi kuuliza serikali tu maswala muhimu wewe umesharukia Mbowe. siwalaumu CNN kuchukuwa wa kenya kwa akili hizi tutaburuzwa sana tu.
Spika wa bunge kushindwa kusoma tarakimu ni aibu ya taifa zima la Kenya though kwa Tanzania hata sidhani kama kuna aliejua hiliKiswahili chetu huwa hatuzingatii sana ngeli wala usanifu wake. Yaani tunaboronga kwa kwenda mbele. Ila kiswahili chetu ni kizuri kushinda cha Congo. Chenu ndio the best lakini chetu pia kinaeleweka. Watanzania wanaokuja Kenya wanatuelewa bila tatizo lolote na sisi tunawaelewa bila shida. Kwa hivyo Mkenya akizungumza kwa lugha ya Kiswahili basi Mtanzania atamwelewa tu hata mama Samia alisema hivyo katika hotuba yake kwenye bunge la Kenya. Yaani licha ya kiswahili chetu kuwa na makosa ya ngeli bado mnatuelewa tu tunapozungumza. Halafu wakenya waliosomea uanahabari wana kiswahili kizuri sana kwa mfano marehemu Ken Walibora. Pia Kenya ina wahadhiri na maprofesa wa lugha ya kiswahili waliobobea.
Na mbona media zenu hazichambui pumba anazosema waziri wenu wa afya? Sijui mara anaagiza dawa ya miti shamba kutoka Madagascar, mara anaagiza kila mtu ajifukize. Yaani hakuna mwanahabari hata mmoja mwenye pumbu za kiume anayeweza kupinga kauli hizo? Kila mtu anakubaliana nazo licha ya maagizo haya ya waziri kuwa ni upuuzi mtupuWewe upeo wako wa kuchambua ndio unaweza kuwa haupo kabisa, unataka wawe wanahoji upumbavu wa mbowe au lissu? Ninachopendea media zetu ni kwamba zinamtambua kilaza mapema sana na zinakua very strictly kuikinga Jamii from consuming pumba from them, ndio maana hawawapi airtime
Wewe ni mtu wa chuki sasa unachanganya mada mara Mbowe, Lissu mara bomba la Gas mara mkenya. Hapa anaongelewa mtu kapata kazi CNN kuwakilisha reporting ukanda wetu huu, wewe kwa maandishi yako na kuchanganya kizungu sio kwamba hatujui kuandika kizungu ila inakuonesha ni mtu wa aina gani. Chuki zimekutawala hii mbaya sana itakuleta maradhi bure maisha furahia tu toa maoni yako bila kujitia ghadhabu maisha mafupi.Utaburuzwa na nani bro mbona una akili finyu sana? Yaani unataka kuleta national level competition kwenye kijinafasi cha kureport cnn? Kisa mkenya kapata kicho kibarua cha kujishikiza hapo cnn ndio anawaburuza watanzania zaidi ya million 60?
Upeo wako mdogo sana kwenye kuingiza role ya Taifa, wangechukua bomba la mafuta Uganda kisa English au any bigger economic interests kisa English ndio ningekuona una sound sane Lakini kwa hichi kipost cha cnn unasound kaa mwendawazimu
Hicho kiswahili kimewafikisha wapi?Kama speaker wenu hajui kuhesabu tarakimu ni mkenya yupi mwingine atajua?
Hata radio zenu za kiswahili na matangazo yenu yote ya kiswahili huongea yote kwa kiswahili Lakini wakija kwenye numbers tu lazima watumie English sababu wanajua wakenya wote hawajui kiswahili kabisa
Am sure ile hotuba ya samia bungeni kwenu ni less than 10% Kenyans ndio walimuelewa alichokua akizungumza, wengine wote mlikua mnasikia maruerue tu
Au sam Mahela wewe ume panicUtaburuzwa na nani bro mbona una akili finyu sana? Yaani unataka kuleta national level competition kwenye kijinafasi cha kureport cnn? Kisa mkenya kapata kicho kibarua cha kujishikiza hapo cnn ndio anawaburuza watanzania zaidi ya million 60?
Upeo wako mdogo sana kwenye kuingiza role ya Taifa, wangechukua bomba la mafuta Uganda kisa English au any bigger economic interests kisa English ndio ningekuona una sound sane Lakini kwa hichi kipost cha cnn unasound kaa mwendawazimu
Hiyo mitishamba ndio Wazungu hutumia pia na ndio dawa zinazofanya Tanzania ionekane haina corona sababu ndio zinazotumika kwenye vituo vya wagonjwa wa corona na mitishamba hiyo inawaponyeshaNa mbona media zenu hazichambui pumba anazosema waziri wenu wa afya? Sijui mara anaagiza dawa ya miti shamba kutoka Madagascar, mara anaagiza kila mtu ajifukize. Yaani hakuna mwanahabari hata mmoja mwenye pumbu za kiume anayeweza kupinga kauli hizo? Kila mtu anakubaliana nazo licha ya maagizo haya ya waziri kuwa ni upuuzi mtupu
Kimetufanya tumekua Taifa 1 na tupo unique duniani sababu ndio Taifa pekee lenye lugha 1 inayoliunganishaHicho kiswahili kimewafikisha wapi?
Kwa hiyo unanisuta ama? 😅😅😅Wewe ni mtu wa chuki sasa unachanganya mada mara Mbowe, Lissu mara bomba la Gas mara mkenya. Hapa anaongelewa mtu kapata kazi CNN kuwakilisha reporting ukanda wetu huu, wewe kwa maandishi yako na kuchanganya kizungu sio kwamba hatujui kuandika kizungu ila inakuonesha ni mtu wa aina gani. Chuki zimekutawala hii mbaya sana itakuleta maradhi bure maisha furahia tu toa maoni yako bila kujitia ghadhabu maisha mafupi.