Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Naona Sam anakutesa sana 😅😅Au sam Mahela wewe ume panic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Sam anakutesa sana 😅😅Au sam Mahela wewe ume panic
Ukishagundua mtu ni pumba na kwamba hutamhoji chochote mbona umuite kwenye show in the first place? The aim of the media is to give out news to the general public for consumption. How you give out that news depends on your level of professionalism as a journalist. Hata hapa Kenya hao mapumba as you call them get interviewed and such interviews/shows still get audience. It all boils down to the journalist - knowing what to get from his interviewees and howWewe upeo wako wa kuchambua ndio unaweza kuwa haupo kabisa, unataka wawe wanahoji upumbavu wa mbowe au lissu? Ninachopendea media zetu ni kwamba zinamtambua kilaza mapema sana na zinakua very strictly kuikinga Jamii from consuming pumba from them, ndio maana hawawapi airtime
Those are your opinions. You can't defend them when asked toKimetufanya tumekua Taifa 1 na tupo unique duniani sababu ndio Taifa pekee lenye lugha 1 inayoliunganisha
Actually bongo flava ipo kwenye World's Arena saivi sababu ya kiswahili, outsiders comment it's the most romantic language ever in music, soothing soul
Tatizo kubwa ninaloliona kwetu ni kuwa hatuna wawekezaji wakubwa kwenye Media..hakuna mtu aliyeserious hata kidogo..Ukiacha Azam ambaye yeye michezo na kuuza kisimbuzi chake ndo kipaumbele chake hawa wengine wapowapo tu siku zinaenda na ndo maana hatuwezi kupata Journalist wenye uwezo mkubwa maana haya makampuni yetu kwanza yanatafuta cheap journalists wasiojua mambo.Tony umechukuwa serious mimi najuwa kachukuliwa mtu anajielewa natoa changamoto tu ya watangazaji wetu kuwa wako nyuma sana tena sana. Sisi wa Tanzania huwa tunalalamika hawa wa Kenya wanatuzidi lakini nimesema hata ingekuwa wanatafuta mtangazaji kwa Kiswahili wangechukuwa toka Kenya sababu sisi watangazaji wetu upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana au hakuna kabisa.
Asante [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kimetufanya tumekua Taifa 1 na tupo unique duniani sababu ndio Taifa pekee lenye lugha 1 inayoliunganisha
Actually bongo flava ipo kwenye World's Arena saivi sababu ya kiswahili, outsiders comment it's the most romantic language ever in music, soothing soul
Hisia unaleta wewe tunaongelea mtu kupata chance katika CNN moja ya network kubwa kabisa duniani na wale hawaajiri vilaza wewe umeleta issue za siasa sijui Mbowe mara Gas sasa niambie umeni quote wapi nimeongelea siasa hapa. Umeanza kuchanganya mambo wala sio sehemu yake.Kwa hiyo unanisuta ama? 😅😅😅
Leta hoja bro niondolee maumivu mimi 🤣🤣
Hoja zinakupiga ngwara unaleta hisia 😜
Nadhani sababu hao ndio ma star wetu huku Sam Mahela TBCcccccccNaona Sam anakutesa sana 😅😅
Na hii ndio hoja yangu wale watu wenye upeo wa kuuliza mambo ya msingi hawapati nafasi ni mara moja tu kwa mimi inawezekana wako wengine ila sijawahi kuona labda ni siku ile Mayala alimrushia maswali magumu JPM na sio uhumu tu maswali ya msingi japo nadhani alikuwa kama mwandishi huru labda angekuwa wa chombo fulani asingeweza na wengi walishtuka siku zile kusikia mtanzania kuuliza katika ile sababu hatujazoea lakini sote tunajuwa baada ya hapo Mayala akapotea. Lakini naamini wako watu wanaweza kusimama na kuuliza kwa nia njema tu lakini swali gumu wapo na uhakika. Ila kila kizuri kinahitaji matunzo. vyombo vya habari au wamiliki wana agenda zao ni kulinda maslahi yao sio habari. Bahati mbaya hatuna media yoyote kwetu wanaoweza kusema wako huru hata gazeti la mwananchi walikuwa kidogo nao kwisha labda huko Raia mwema wako kidogo.Tatizo kubwa ninaloliona kwetu ni kuwa hatuna wawekezaji wakubwa kwenye Media..hakuna mtu aliyeserious hata kidogo..Ukiacha Azam ambaye yeye michezo na kuuza kisimbuzi chake ndo kipaumbele chake hawa wengine wapowapo tu siku zinaenda na ndo maana hatuwezi kupata Journalist wenye uwezo mkubwa maana haya makampuni yetu kwanza yanatafuta cheap journalists wasiojua mambo.
=====
IPP hamna kitu.
Sahara imekufa.
Clouds wanafanya mseto usioeleweka kwenye Tv.
Wasafi..tv ya umbea na muziki.
====
Huwezi kulinganisha na standard Media ya Kenya yenye dedicated channel kwa ajili ya habari tu i.e KTN News.. na bado kina Citizen Tv na wengine.
Jamaa ni genius. Alianza kufanya kazi KTN akiwa na miaka ishirini. Mimi nikiwa na miaka ishirini nilikuwa nakimbizana na wasichana kwenye kijiji.
Sio lugha tu, ongeza kisomo na experience ya mhusika! 🤣 Kazi hazipatikani kwa kujua lugha flani tu...Wakenya wanabebwa na lugha. Nahisi hata kwetu ingepewa kipaumbele. Kujua lugha mbili kwa ufasaha si jambo baya.
Imekuuma dadeq! 🤣 🤣 🤣Mkenya yupi anaongea fluent swahili we nyumbu? Spika wao wa bunge tu hajui kusoma number kwa kiswahili Yaani moja, mbili, tatu, nne, tano, sita,....... Hazijui kabisa kabisa na ni aibu kaipata mbele ya ziara ya Rais
Hakuna mtanzania asiejua kuhesabu one, two, three, four... Hata yule ambae shule hakwenda kabisa
Ukweli ni kwamba kwa Kenya kiswahili wapo hovyo zaidi ya hovyo yenyewe na English vile vile wapo hovyo kama kawaida, ni wakenya chini ya 20% wanajua English hii ni according to Oxford University of Manchester
Naona unatema pumba tu
Kimetufanya tumekua Taifa 1 na tupo unique duniani sababu ndio Taifa pekee lenye lugha 1 inayoliunganisha
Actually bongo flava ipo kwenye World's Arena saivi sababu ya kiswahili, outsiders comment it's the most romantic language ever in music, soothing soul
Duh, wewe ulitoholewa pahali kwa chuki hizi. Hivi kiswahili nikijue kwa undani ili iweje. Lugha sio moja duniani, soma akili ipanuke uache kubobokwa ovyo!Kama speaker wenu hajui kuhesabu tarakimu ni mkenya yupi mwingine atajua?
Hata radio zenu za kiswahili na matangazo yenu yote ya kiswahili huongea yote kwa kiswahili Lakini wakija kwenye numbers tu lazima watumie English sababu wanajua wakenya wote hawajui kiswahili kabisa
Am sure ile hotuba ya samia bungeni kwenu ni less than 10% Kenyans ndio walimuelewa alichokua akizungumza, wengine wote mlikua mnasikia maruerue tu
Ni utambulisho wa mtanzania, mkenya akiingia Tanzania the moment he she opens the mouth every one knows huyu sio mtanzania, the same to any nationalFaida ya kuwa na lugha moja kama taifa gani?
Wakenya wanabebwa na lugha. Nahisi hata kwetu ingepewa kipaumbele. Kujua lugha mbili kwa ufasaha si jambo baya.
Hamna kitu, wachambuzi hakuna points za muhimu mnaweza rusha, sababu ya kuogopa serikali yenyu, haha eti msifungiwe vituo vya habari. Vipi mkuu, ka mtu hafanyi kazi yake, ni aulizwe live si kutoleana meno hapo kwenye runinga.Wewe upeo wako wa kuchambua ndio unaweza kuwa haupo kabisa, unataka wawe wanahoji upumbavu wa mbowe au lissu? Ninachopendea media zetu ni kwamba zinamtambua kilaza mapema sana na zinakua very strictly kuikinga Jamii from consuming pumba from them, ndio maana hawawapi airtime
Na kujituma kwa sana pia! 👌Acha kusema wakenya wanabebwa na lugha, ni connection na urafiki... ile kitu unahitaji ni urafiki, connection na masomo. Ukipata hizo najua utasaidika kiwewe.
Hicho kiswahili ukiwa ughaibuni ukizungumza tu, unaulizwa vipi we mkenya... Haha alafu kama vipi hatukizimii sana vile, kaeni nacho tu! 🤣Ni utambulisho wa mtanzania, mkenya akiingia Tanzania the moment he she opens the mouth every one knows huyu sio mtanzania, the same to any national
Hiyo ni faida kubwa sana ya kuwa na lugha yetu ya swahili
Mkizimie kwani chenu?Hicho kiswahili ukiwa ughaibuni ukizungumza tu, unaulizwa vipi we mkenya... Haha alafu kama vipi hatukizimii sana vile, kaeni nacho tu! 🤣
Sababu ya kuwa na lugha moja ni ju ya wakenya ama ni sifa gani munatafuta kwa hii dunia?Ni utambulisho wa mtanzania, mkenya akiingia Tanzania the moment he she opens the mouth every one knows huyu sio mtanzania, the same to any national
Hiyo ni faida kubwa sana ya kuwa na lugha yetu ya swahili