Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
40,000USD per month+fringe benefitsAnagombewa baina ya BBC na CNN, hivi TBC wataweza kumlipa shilingi ngapi......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40,000USD per month+fringe benefitsAnagombewa baina ya BBC na CNN, hivi TBC wataweza kumlipa shilingi ngapi......
Hahahahah acha utani wewe hamonaizi ana kiingereza gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usife matumaini braza. mbona usijiunge na shule ya gumbaru ili ujiongeze?!
Hamonaiz nnaye mjua mimi, alikua vibaya sana kitambo lakini baada ya kujiongeza, siku hizi nyimbo zake anapiga ung'eng'e mwanzo/ mwisho.
Ndio hii video ya kwanza ya Larry akiwa CNN
Achana na pimbi yule kwa sababu yeye aliburzwa anataka tuwe sawa na yyUtaburuzwa na nani bro mbona una akili finyu sana? Yaani unataka kuleta national level competition kwenye kijinafasi cha kureport cnn? Kisa mkenya kapata kicho kibarua cha kujishikiza hapo cnn ndio anawaburuza watanzania zaidi ya million 60?
Upeo wako mdogo sana kwenye kuingiza role ya Taifa, wangechukua bomba la mafuta Uganda kisa English au any bigger economic interests kisa English ndio ningekuona una sound sane Lakini kwa hichi kipost cha cnn unasound kaa mwendawazimu