Na wakamuua mtoto aliye tumboni mwa mama yake bila hatia... aliye mfyatulia risasi huyo mama na wengine wa aina hiyo-Jehanam zinawahusu 100%Mpaka wajawazito walikula shaba😭😭😭😭✌🏿
Alienda kufanya nini na mimba yake na gongo mkononi?Vyanzo vya karibu na familia yake viliiambia CNN kuwa mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu, na ameacha nyuma mume na watoto wawili. CNN
Alienda kufanya nini kwenye vurugu?Mpaka wajawazito walikula shaba😭😭😭😭✌🏿
Wanatuchukulia poa sana. Mahiti zimetapakaa sakafuni harafu wanasema ni AI. Mimi sio mtaalamu wa IT lakini ukinionyesha video ya AI naweza kuijua.Na huyu alilipwa kiasi gani hadi akawa tayari kuacha familia yake ? Nadhani utawala uliopo upime sana maneno wanayosema sababu yanaweza yakatafsiriwa kama kejeli kwa waliopoteza wapendwa wao
Mtoto wake alijitambulisha anaitwa Brenda huyo anayesema "mama amka" alisema muda tu kua mama yake alikua mjamzito.Tangu mwanzo nilipoiona hiyo video, ilikuwa n video yangu namba moja kwa kuniumiza mno.
Leo tena napokea taarifa ya kuniumiza zaidi
Huyu mama namjua vizuri alikua anauza nyanya pale mianzini... Mama brenda yani alikua ndio kila kitu kupambania familia yake 😭😭Vyanzo vya karibu na familia yake viliiambia CNN kuwa mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu, na ameacha nyuma mume na watoto wawili. CNN
Dah walahi 😭Huyu mama namjua vizuri alikua anauza nyanya pale mianzini... Mama brenda yani alikua ndio kila kitu kupambania familia yake 😭😭
Hongera kwa mtu aliyekua nyuma yake akirecordHuyu mama namjua vizuri alikua anauza nyanya pale mianzini... Mama brenda yani alikua ndio kila kitu kupambania familia yake 😭😭
Huyo mama tulikuwa tunakaa kijiweni kwake hana baya na mtuMtoto wake alijitambulisha anaitwa Brenda huyo anayesema "mama amka" alisema muda tu kua mama yake alikua mjamzito.
Hii video inaongoza kwa kuhuzunisha na ndio maana kwenye kila makala utaikuta.
We dada ni mstaarabu sana hongera sana kwa kuwa na hicho kitu ndani yakoOk,nimesoma nimeelewa,
Angekuwa ni mama yako ungeongea hivyo?Alienda kufanya nini kwenye vurugu?
Mjamzito anaenda kufanya nini kwenye vurugu?..na mpini na jiwe mkononi?Angekuwa ni mama yako ungeongea hivyo?
Huyo mama alikuwa kwenye harakati zake zakutafuta ugali maana ni mfanyabiashara mdogo ndipo vurugu zimetokea kwenye eneo lake la kaziMjamzito anaenda kufanya nini kwenye vurugu?..na mpini na jiwe mkononi?
Huyu madaraka kwanza aibu baadaeSamia kama mama aonyeshe hata aibu ya kinafiki.