gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Anauza mipini na kokoto?Huyo mama alikuwa kwenye harakati zake zakutafuta ugali maana ni mfanyabiashara mdogo ndipo vurugu zimetokea kwenye eneo lake la kazi
Anauza mipini na kokoto?Huyo mama alikuwa kwenye harakati zake zakutafuta ugali maana ni mfanyabiashara mdogo ndipo vurugu zimetokea kwenye eneo lake la kazi
Si katika kujihami kwenye vurugu pia hawakosi waharifu na polisi wasio na akiliAnauza mipini na kokoto?
AhahahaSi katika kujihami kwenye vurugu pia hawakosi waharifu na polisi wasio na akili
Dah so sad, mkuu hii video ni wapi mi nilidhan ni Crokon pembenHuyu mama namjua vizuri alikua anauza nyanya pale mianzini... Mama brenda yani alikua ndio kila kitu kupambania familia yake 😭😭
Ni pale mianzini msikitini barabara ya kupanda kiding'a pembeni ya duka la vipodozi, fremu ya pili kuna jamaa anauza matundaDah so sad, mkuu hii video ni wapi mi nilidhan ni Crokon pemben
Hii video ya huyu mama inasikitisha sanaNi pale mianzini msikitini barabara ya kupanda kiding'a pembeni ya duka la vipodozi, fremu ya pili kuna jamaa anauza matunda
Mara nyingi nakuwepo hapo sema ule muda alipopigwa risasi nilikuwa kwenye baa 1 hapa kona nairobi ya chini ambapo napo zilirushwa risasi nne tulipokuwa tumekaa bahati nzuri hazikumpata mtu bali ziliharibu ukuta na viti.... Hadi muda huu ukija kwenye hii baa kuna matundu ya risasi
Kwa sisi watu wake wa karibu tunaumia zaidi mkuu, huyu mama nachezaga nae karata, tunataniana na ni mteja wangu kwa bidhaa ninazouza.Hii video ya huyu mama inasikitisha sana
Watoto wake walichukua mwili wake?Kwa sisi watu wake wa karibu tunaumia zaidi mkuu, huyu mama nachezaga nae karata, tunataniana na ni mteja wangu kwa bidhaa ninazouza.
Ana watoto wawili wote wanasoma
Kuna Mambo dada yangu sio yakuteteaAhahaha
Ndio, wadai haki walichukua mwili wake wakishirikiana na familia na wameshazika. Pia walijitolea wakachanga wakaijengea familia nyumba nzuri sababu walikuwa wakitumia nyumba ya udongoWatoto wake walichukua mwili wake?
Acheni uchochezi
Familia ya huyo mama ndio imewapa hiyo taarifaanaitwa nani?nani alithibitisha kuwa ni mjamzito wa mapacha
Inasikitisha sana...Acheni uchochezi