CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

Donald Trump alishasema CNN ni fake news kazi yao ni kufanya propogada kwa maslahi ya main stream media. Ukitaka kujua mengi zaidi kuhusu hii fake news watch Fox News hao ndio kiboko yao. Wamarekani wengi hawaangalii CNN
Fox wenyewe walilipoti hii habari au ukuona?
 
Unaishi dunia gani? Wenzako walishapata chanjo na sasa juzi adi Euro tuliona wamejazana viwanjani halafu unaongea mambo ya mikusanyiko?
Kitu hujui ficha upuuzi wako. Uingereza Waziri wa Afya kaugua baada ya kuchanjwa. Waziri Mkuu kajilockdown kwa vile alikuwa karibu na huyo waziri. Usisahau kuwa Mbowe alimzika kaka yake aliyekufa kwa Corona, baadala ya kui-lockdown akaenda Mwanza kuambukiza kanda ya ziwa. Hiyo ni haki?
 
Mwongo wewe.
Unaongea ki CCM CCM tu.
Nawewe unaongea kichadema chadema tu. Msitegemee hata siku moja jumuia za kimataifa kuunga mkono hoja zenu za kipuuzi
Leo mnakwenda kuinga mavazi ya vichaa Malema na Bob Wine mnafikiri huo uhuni wenu wa kutaka kuleta machafuko hapa nchini utafanikiwa ?
 
Umeji contradict kinyama. Umeanza kwa kua na mashaka na CNN. Afu mwisho wa maelezo yako una wassuport tena CNN Kwamba wamefanya la maana kutangaza ili mbowe atoke. Una ji contadict mkuu
 
Halafu hata haipendezi, Mwanamke eti unakuwa dictator! How comes?
Uongozi wa ccm ni mfumo na sio mtu,huu mfanano wa mambo uwastueni kwamba tatizo sio Jiwe au mama,bali mfumo uliowazalisha ndio ambao unawataka wawe hivi.
Sijajua kama deep state inahusika na haya au la!kama ndio wao wanaendesha mambo haya basi tuna safari ndefu.
Kama si wao basi nawaambia tu wanafanya kosa kubwa kuendelea kuikumbatia ccm.Walipaswa kuwa wameshaandaa mbadala wa ccm kisera,kimkakati,kiutendaji na kinguvu kazi na kipindi hiki kingekuwa cha kuiwekea mitego tu ijilipue yenyewe.
Ccm na mfumo wake n aina ya watu iliyo nao ndio tatizo kuu la taifaa hili kwa sasa.No doubt about it.!yaani nna uhakika hata wenyewe hawajui waibadilisheje ccm yao!beyond repair!
 
Haina tofauti na kupora uchaguzi na kujipa wabunge wote halafu wakasahau wanatakiwa wawe na kambi ya upinzani.CCM ni wajinga kweli.😂😂😂😂
 
You got an argument that merits examining in more detail: CCM na mfumo wake?; aina ya watu ilionao(?)

I will put my money on the later: aina ya watu ilionao.

I hope I'll have time to come back to this posting of yours and give it a little more time because it is thought provoking.
 

Kwa lugha yetu mkuu ili tuelewe
 
CNN nawakubali sana. Kwenye ving'amuzi vya Azam na Startimes hakuna!
 
Donald Trump alishasema CNN ni fake news kazi yao ni kufanya propogada kwa maslahi ya main stream media. Ukitaka kujua mengi zaidi kuhusu hii fake news watch Fox News hao ndio kiboko yao. Wamarekani wengi hawaangalii CNN

Siyo Kweli mkuu. Lakini hakuna wa kubeza CNN, Trumpa haipendi sababu ilimkosoa sana. Tazama link:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…