CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

Halafu hata haipendezi, Mwanamke eti unakuwa dictator! How comes?

20210723_153551.jpg

20210721_214847.jpg
 
Unajua nchi zilizoendelea zinawekeza sana kwenye kutumia Brain kuliko kingine chochote. Sijui polis yetu inatumia akili kwa kiwango gani katika kutekeleza majukumu yake. Kumkamata mbowe siku moja kabla ya mkutano wa katiba kwa Kosa liko kuwa linachunguzwa miezi kadhaa kwa mtazamo wangu kunazua maswali hata kama ni kwa mtoto wa vidudu .polis wawe na strategy japo kwa kuzuga otherwise tunasubiri kwa hamu makamuzi yao mbele ya sheria
 
Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya kijasusi kama CIA ni kuptia vyombo hivi vilivyoenea duniani kote, mfano BBC inatumika na MI6, kuna Aljazeera huko Asia na kadhalika.

Kiuhalisia CNN inaichambua hali yetu ya kisiasa kama ya mwaka mmoja uliopita na ikimnasibisha Mama yetu na Hayati Magufuli. Inasema kuwa yeye alikuwa msaidizi wake so inawezekana ameamua kuendeleza mfumo ule. Kimataifa hii inaturudisha kule tulipotoka, kule kwenye matamko ya jumuiya ya kimataifa, kule kwenye kuanza kututenga na kumuandama Rais wetu.

Tanzania siyo kisiwa hivyo tunapaswa kujenga taswira nzuri kimataifa. Simaanishi Sheria zisifuatwe la hasha lakini hizi sheria zinazoleta makosa yanayomnyima mtu Dhamana hata Samia alishazuia kutumika hovyo. Tunakumbuka kesi ya kina Mbowe ambayo walishinda kwa rufaa na kurudishiwa fedha zao, ikumbuke Mbowe alishakaa ndani miezi mi4 kama Sugu na Lema na wengineo.

CNN wanahoji je kudai katiba mpya, kukusanyika, kufanya kusanyiko wa kisiasa ni "Constitutional Rights" (Wao wameziona wapi hizi haki?) means wamesoma katiba yetu.

Kwa jicho la tatu maana yake wao wanaona kama Serikali yetu inatunyima haki zetu za kikatiba. Hii ina maana mbaya sana kwa 6th Regime ya JMTkimataifa hasa kipindi hiki ambacho Mama anataka kuifungua nchi kuongeza wawekezaji na kuleta Maendeleo ya kiuchumi.

Serikali ipambane na wavunja Sheria,iendelee kupambana na ugaidi lakini isiwabambikie kesi hasa kwa makosa yanayonyima dhamana.

Kazi na iendelee!

Ukiona makelele mengi shikilia hapo hapo. Kuna kitu nyuma ya mauaji ya viongozi. Mama usiogope lazima Dunia ijue nyuma ya pazi mauaji ya viongozi

Nani aliratibu mpango huo.
 
Jeshi la polisi likishindwa kudhibiti mauaji ya viongozi na wapangaji wa mipango hakuna kiongozi wa atayekaa madarakani. Kwa nn Tundu Lisu harudi.......
 
Wameahidi wametelekeza
 
Dikteta uchwara mwingine amepokea kijiti cha dikteta mwenzake.
 
Donald Trump alishasema CNN ni fake news kazi yao ni kufanya propogada kwa maslahi ya main stream media. Ukitaka kujua mengi zaidi kuhusu hii fake news watch Fox News hao ndio kiboko yao. Wamarekani wengi hawaangalii CNN
Unachosema ni kweli mkuu.

Hata hivyo, ni kosa baya sana ku underestimate chombo kinachotizamwa na walau watu 400,000 kwa siku.

Hiyo namba sio ndogo na hata Trump anafahamu ni namna gani the so called fake media house ilichangia demise yake.

"In the final quarter of 2020, CNN averaged 412 thousand total day viewers aged between 25 and 54 years.

The cable news network managed to attract a greater amount of viewers from this younger demographic compared to its competitors Fox News and MSNBC.

Fox News was the leading network with almost 1.84 million total day viewers in Q4 2020"

Source: statista.com
 
Sawa MATAGA
 
Wamarekani wengi hawaiangalii CNN....wamejaa FAKE NEWS.....
 
Nimechukua point ya TIMING OF THE ARREST hapo ndipo hoja ya polisi inapokosa uhalali kwa sababu kama kweli Mbowe alikuwepo mtaani wanamuona ila alipoenda tu Mwanza kwenye kongamano la katiba ndio alipokamatwa maana yake kama angeenda kwa shunguli zake binafsi isingekua shida. Wenzetu ndio Wana waandishi wa habari wanaochambua na kuchunguza halafu wako neutral kwa sababu ndio kazi yao sio sisi huku wako makanjanja wengine anafanya kazi huku akifikiria uteuzi
 
Wamarekani wengi hawaiangalii CNN....wamejaa FAKE NEWS.....
Wamarekani wanaangalia nini MATAGA, kila siku nchi zetu zinapokea misaada kutoka katika nchi hizo, hivyo basi taarifa kama hizi zinaleta ukakasi katika kutoa kwao misaada katika miradi yetu kwani sifa mojawapo ya kutoa misaada na mikopo ni uhakika wa kuwepo na demokrasia huru katika nchi yako
 
Back
Top Bottom