Nakuelewa katika baadhi ya points mkuu.
Hata hivyo, CNN iwe fake ama genuine, viewership ya wamarakani pekee ya 412,000 kwa siku sio ya kubeza.
Viongozi wetu wanaweza/wangeweza ku handle hizi situations in a smarter way.
Ni muhimu kuzingatia kwamba katika dunia ya sasa, it isn't about being real, smartness is the key.
Kwa vyovyote, serikali inatakiwa kulinda reputation yetu. Serikali ina watu smart, inaweza fanya hili.
Watu wengi wanaweza wasielewe sana haya yanatupeleka wapi. Lakini believe you me, sio kuzuri.
Lakini kama mtu ambaye nipo kwenye tour operator business, najua trend ya biashara imeendaje in the past 6 years.
Nafahamu ni aina gani ya maswali potential clients wamekua wakiuliza baada ya kuona 'the so called fake news' kwenye media.
Negatives zilizoandikwa kwenye travel advisory websites za 'mabeberu' zingeweza kuepukika kwa watu wachache kuwa smart.
To make things worse, maswali ambayo overseas travel partners wetu wamekua wakituuliza in terms of stability ya politics zetu hayana uelekeo mzuri.
Anyway, pengine naangalia zaidi maslahi, lakini vyovyote itakavyokua....maslahi ya private sector yakiwa mazuri na serikali itapata ustawi.
Na, hakuna namna nzuri ya kuistawisha private sector zaidi ya stable politics with a distinguished reputation.