Hujielewi. Unajua equipments ngapi zimerudishwa China ziko FAULTY? Let be legitimate si kutukana tuu all the time. UK government waliacha kutumia Chinese testing kits, US nao walirudisha so Magufuli might be right.Pumbafu unafikiri wote majinga kama wew.Unatiria shaka jambo ambalo ni global unajua shida ni kwamba serikali ya jiwe umezoea ulaghai na kufake takwimu.Yaan mtu unaonesha uongo kwenye ugonjwa wa dunia.The same instrument zinatumika world wide eti mtu anaibuka kujiffanya mjuaji ni fake .Watu wenye akili wanajua anakwepa lawama ndo maana amekuja na hoja ya ajabu.