CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

Wonders shall never cease. Issue ya Jiwe inatakiwa tusaidiwe na wanasaikolojia. Jiwe ameingilia vifaa vya kupima covid19 kwa kesend garbage. This is similar to what was done by Dr. Shika during the auction. Dr. Shika aliwachnganya watu sana na aliitwa mpaka kwenye media house kadhaa kuhojiwa. Watanzania, tusiyachukulie poa magonjwa ya akili.
Issue sio kusend gabage.
Ila ni Gabage zikawa Positive.
Hapo ndipo alipoifanya Dunia nzima kumpigia salute!
 
Baada ya kutandikwa huko Kibiti na lkwiriri mmekimbilia humu?jaribuni tena muone,this time tutawanyoa mav*zi bila maji.
Tumekimbilia Msumbiji. Hujaona clip zetu?
Na tafadhali usiitukane dini ya mtume
 
Tumekimbilia Msumbiji. Hujaona clip zetu?
Na tafadhali usiitukane dini ya mtume
Hahaha, sio ya Mungu,kumbe ni ya mtume?nyinyi waoga sana mabinti zangu,baada kutandikwa tu mkakimbilia Msumbiji!rudini tena tuwagonge nyuma.
 
Mtaji Mkubwa wa Magufuli ni Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake!
Na mheshimiwa Mbowe mtaji wake ni wewe na wenzio wenye mapenzi kwake na wajinga pia. U gesema mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wafuadi wao mmoja wapo ukiwa wewe
 
Na mheshimiwa Mbowe mtaji wake ni wewe na wenzio wenye mapenzi kwake na wajinga pia. U gesema mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wafuadi wao mmoja wapo ukiwa wewe
Naona imepenya toboni... pole sana, sina namna nyingine ya kukusaidia!
 
Pole sana, sikujua kwamba speed ilikuwa kubwa kiasi hicho!! Halafu binafsi nakuona poyoyo tu manake wanaonifahamu, hata huyo Mbowe huwa namlipuaga hapa! We unadhani kila mtu ni mshabikia wanasiasa.. we juha kweli!!
Aisee kumbe kweli mjinga hajitambui , mie nimetaja mataahira kumbe nawe umo humohumo.
 
Aisee kumbe kweli mjinga hajitambui , mie nimetaja mataahira kumbe nawe umo humohumo.
Misukule ya Jiwe mnajulikana, akili zenu hazijai hata kwenye kijiko matokeo yake, kila anayemkosoa Jiwe, mnaamini ni CHADEMA, very stupid!!

Uhusiano wangu usio rasmi na CDM hapa JF ni kwamba wote tuna common enemy ambae ni Genge la CCM linalongozwa na Jiwe huku akishabikiwa kila kitu na misukule yake, ambayo mingine wala sio kwamba ni CCM bali kwavile Jiwe ni mtu wa kwao basi na yenyewe inadhani ina wajibu wa kutetea urais wake!!

Anyway, keep quoting my post, housegirl wetu akimaliza kupika, atakuja ku-respond kwa niaba yangu, maana naona unanipotezea muda tu while you're not worth my time!
 
Back
Top Bottom