CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

Masheikh waliofungwa jela na serikali dhalimu wameanza kufa
Mmoja kafa kwa covid 19.
Ndugu waislamu tupaze sauti. La sivyo watakufa wengi.
 
Anamaanisha vyombo vya habari mbali mbali vya dunia vinaongelea habari za Rais wa Tanzania kuwa mtu intelligent na smart sana. Hivyo kwa hotuba yake inayohusu mashaika ya vaipimo vya Corona na matokeo yaliyopatikana baada ya kupima makamasi ya mbuzi, majimaji ya papai, maji maji ya fenesi, kware n.k na kutoa majibu chanya kwa Covid 19, imbayo mataifa anuai wameitafsiri kilugha chao imeamsha dunia na kumfanya rais na TZ kuwa gumzo duniani.

Kwamba imewasthua mataifa mbali mbali na watu binafsi kuanza kufanya uchunguzi wa majaribio zaidi ya vipimo hivyo. Hata wale watengenezaji wa vipimo, hawajakikimbilia kukanusha kama vile wabongo wa mitandani wanavyokimbilia kuita vipimo fake, matokeo fake, mashine iko sahihi imepikwa kuona korona tu kama hakuna kipimo cha mtu, nk.

Kwa Lugha nyepesi, wasiomwelewa Rais wetu katika hili wanahitajika kulinda heshima zao kwa kukaa kimya kwanza. Hii ngoma ni daraja lingine!. Tumuunge mkono rais wetu kwa kuendelea kuwa makini na kuchukua tahadhari kwa mambo yote! Yaani Corona, maisha yetu hadi misaada n.k.
 
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu!

Rais Magufuli ni zao la Seminary

Mungu mbariki sana Rais Magufuli na Mwenye Heri Nyerere azidi kutuombea

Amina!
 
Nipe logic ya point yako are you sure wewe uko sahihi??? Wewe si mjinga??? Toa proof kupitia statement ya rais kuonyesha alichosema ni ujinga na wewe una akili kuliko wale wanaoiunga mkono
Kwenye post yangu kuna mahali nimezungumzia suala la alichosema Magufuli?! Btw, thread inasema kuhusu alichosema Magufuli au inasema media mbalimbali duniani zimemuunga mkono Magufuli?

Unaweza kuweka hapa quote moja TU kutoka kwa hizo media tajwa hapo juu ambayo inasema kumuunga mkono JPM?! Hivi mmesoma kilichoandikwa na hizo media au mnashangilia tu!!

Sasa kama mtu anaamini kitu ambacho hakipo na anafanya hivyo bila kutafuta ukweli, kwanini mtu wa aina hiyo asiwe mjinga?!
 
Dunia nzima imekubar kwamba hivi vifaa vya kupima virusi vya Covid19 vina mashaka.Haviko accurate 100%.Kwa tafsiri ya haraka haraka watu wengi wamepimwa na wameonekana Wana virusi lakini sio kweli.Kwa mfano swala la mass testing ni kuleta hofu kubwa Kwa watu wakati hata dawa hakuna.Ebu msikilize Pastor Criss



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa Mwanasayansi usingesifia ujinga ule. Hivi ukitaka kupima UTI utatumia Pima Maji? Ukitaka kupima malaria utatumia beam balance? Ukitaka kupima IQ utatumia darubini?

Sasa alicho kifanya Jiwe wenye akili wote wana ona mapungufu makubwa katika kufikiri kwa watanzania.

Sayansi inataratibu zake ili kufikia conclusion.Kama alitaka kujua kama kipimo Kiko faulty alitakiwa achukue sample say kumi kutoka kwa mtu mmoja ili aone kama kipimo kibatoa majibu tofauti.
Ninyi mnao mshabikia rudini darasani
 
Dunia nzima imekubar kwamba hivi vifaa vya kupima virusi vya Covid19 vina mashaka.Haviko accurate 100%.Kwa tafsiri ya haraka haraka watu wengi wamepimwa na wameonekana Wana virusi lakini sio kweli.Kwa mfano swala la mass testing ni kuleta hofu kubwa Kwa watu wakati hata dawa hakuna.Ebu msikilize Pastor Criss



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakenya wenye akili wameanza kumkubali, wanaomkataa ni haya mapoyoyo hapa JF wenye digirii za kuunga unga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mahali mmoja anasema washauri wake wanamdanganya, sijui kama na wewe uliona hilo.

WHO nao wakasema tupuuze habari ya dawa ya Madagascar, haijafanyiwa majaribio popote, hili nalo hukuliona pia?.

Au umeamua tu kumsifia kwasababu tu kachukua "sampuli za mapapai" akapeleka kwenye maabara ya binadamu, kweli hilo lazima lita attract attention from different parts of this world, ni wazo la ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakenya wenye akili wameanza kumkubali, wanaomkataa ni haya mapoyoyo hapa JF wenye digirii za kuunga unga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wagani hao watakubaliana na dickteta mwenye low IQ Kama jiwe?hivi unadhani watu wamekosa akili Kama wewe mzee?kuna mtu analiniambia ukishaa kua mwana chama wa CCM lazima utolewe akili na uwekwe kinyesi Kama vile wewe ata kuku iko na IQ kukushinda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachongaji hawana jipya hivi sasa kubwa walilonalo ni la kujifungua wawili wawili wa jinsia moja eti wanasema wapo karantini!
 
Screenshot_20200507-092945.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Rais kutrend kwenye vyombo vya habari sio jambo la ajabu, anaweza kutrend kwa kuhutubia ujinga, hata akijamba anaweza kutrend pia!!
 
we bibi kizee unaangaika sana! magufur mwenyewe huko aliko anahali mbaya! mpe magufur mnato apige.
 
Wonders shall never cease. Issue ya Jiwe inatakiwa tusaidiwe na wanasaikolojia. Jiwe ameingilia vifaa vya kupima covid19 kwa kesend garbage. This is similar to what was done by Dr. Shika during the auction. Dr. Shika aliwachnganya watu sana na aliitwa mpaka kwenye media house kadhaa kuhojiwa. Watanzania, tusiyachukulie poa magonjwa ya akili.
 
Masheikh waliofungwa jela na serikali dhalimu wameanza kufa
Mmoja kafa kwa covid 19.
Ndugu waislamu tupaze sauti. La sivyo watakufa wengi.
Baada ya kutandikwa huko Kibiti na lkwiriri mmekimbilia humu?jaribuni tena muone,this time tutawanyoa mav*zi bila maji.
 
Hapo Sio Mabeberu Tena
Hofu yangu ni hawa mabeberu yakianza kumsifia Magu sijui wanaotumwa watafanyaje.
Ila Magu, unaweza ukamchukia weeee lakini kuna mahali inabidi ujifiche chini ya kabati tu.
Mwenyekiti wetu sijui ana hali gani huko aliko "karantini ya kibunge"
 
Back
Top Bottom