CNN wafanya interview na Diamond Platinumz

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ na hii leo interview imefanyika salama na soon interview itaonekana CNN
 
Attachments

  • img_8A-__yGwI_.jpg
    img_8A-__yGwI_.jpg
    125.3 KB · Views: 2,815
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CCN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ na hii leo interview imefanyika salama na soon interview itaonekana CCN

Weweeeeee CCN ndiyo nini? usituletee habari zisizo na kichwa kama wewe mwenyewe! ni CNN na siyo CCN!!!!!
 
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ na hii leo interview imefanyika salama na soon interview itaonekana CNN

CCN ni kilabu cha pombe kijijini kwenu au
 
Ki ukweli huyu jamaa keshatunyoosha ila tunaanzaje kumsifia????????
 
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ na hii leo interview imefanyika salama na soon interview itaonekana CNN

Oyooooooooooooo mondi bin laden mziki wake wazee wa kumshusha watauweza??? wakati marekani wanamsikiaga tu wameamua kuja kuiona Nyota ya Tanzania...

Wamekaaaaaaa
 
Wazee wa umeshashuka kimziki viiiiipi mbona kama siwaoni hiviiiiiii hahahgahahaahahahhahah

Maana hii chadema inayopandisha wanamuziki level tofauti na CCM nadhani CNN wangekuwa wameshakuja kufanya interview na Msaga sumu, Roma, ney wa mitego, niki mbishi hahahaha lakini hata Mambo mseto ya kenya kusikika hakunaaaaa labda ney wa mitego kidoooooogo akitangaza wimbo mpya, huko MTV BASE bado tunawaona walewale wa CCm diamond platnumz, Nana imetimiza views milioni tano jana SASA NAJIULIZA ANASHUKA VIPI?? AU KUSHUKA WIMBO WA DULLY SYKES

TEAM DIAMOND PLATNUMZ FOR LIFE

NIMEFURAHI SANA LEO KIDOGO NISIDAI CHANGE YANI TOKEA NAPANDA BASI MPAKA NASHUKA NI NYIMBO ZA DIAMOND TU!!!!
 
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ na hii leo interview imefanyika salama na soon interview itaonekana CNN
Hiyo itakuwa ni program ya African Voices tu hiyo ambapo hukutana na aidha wasanii mbalimbali au wajasiliamali.Walifanyatembelea sehemu nyingi Africa kama vile South Africa, Ghana, Nigeria, Rwanda, Uganda, Kenya, nk.Tanzania ndo walikuwa hawajatia timu bado.
 
Wazee wa umeshashuka kimziki viiiiipi mbona kama siwaoni hiviiiiiii hahahgahahaahahahhahah

Maana hii chadema inayopandisha wanamuziki level tofauti na CCM nadhani CNN wangekuwa wameshakuja kufanya interview na Msaga sumu, Roma, ney wa mitego, niki mbishi hahahaha lakini hata Mambo mseto ya kenya kusikika hakunaaaaa labda ney wa mitego kidoooooogo akitangaza wimbo mpya, huko MTV BASE bado tunawaona walewale wa CCm diamond platnumz, Nana imetimiza views milioni tano jana SASA NAJIULIZA ANASHUKA VIPI?? AU KUSHUKA WIMBO WA DULLY SYKES

TEAM DIAMOND PLATNUMZ FOR LIFE

NIMEFURAHI SANA LEO KIDOGO NISIDAI CHANGE YANI TOKEA NAPANDA BASI MPAKA NASHUKA NI NYIMBO ZA DIAMOND TU!!!!

Mond bin laden miaka mia
 
Hiyo itakuwa ni program ya African Voices tu hiyo ambapo hukutana na aidha wasanii mbalimbali au wajasiliamali.Walifanyatembelea sehemu nyingi Africa kama vile South Africa, Ghana, Nigeria, Rwanda, Uganda, Kenya, nk.Tanzania ndo walikuwa hawajatia timu bado.

Sawa pia unakumbuka al jazera washawahi kumuhoji pia
 
Back
Top Bottom