PostGE2025 CNN wapo live, nukta kwa nukta juu ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29, 2025

PostGE2025 CNN wapo live, nukta kwa nukta juu ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wameyakanyaga

20251117_152800.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Uchunguzi wa kitaalam unaenda kutolewa maelezo ya kichoko tena simple soon utaona, CNn huwa hawakurupuki wanajuwa gharama za kuandika uongo rejea Trump anaidai billions bbc, so cnn hawawez andika jambo la uongo wala ushabiki. Girson ataiponza gavo kuja na uongo
 
Gerson atatoa ufafanuzi wa kina ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN wenye nia ovu dhidi ya nchi yetu. Wananchi wanatakiwa kuipuuza hii ripoti ya kizandiki ya CNN.
 
Gerson atatoa ufafanuzi wa kina ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN wenye nia ovu dhidi ya nchi yetu. Wananchi wanatakiwa kuipuuza hii ripoti ya kizandiki ya CNN.
Kwa hiyo ni AI ndiyo imetumika kufanya huo upotoshaji! Kwa hiyo hakuna tena vijana kutoka nje ya nchi, vijana waliofuata mkumbo, au vijana waliohongwa fedha kwenye yale maandamano!!

Msituchanganye tafadhali.
 
CNN wanairusha hiyo habari sawasawa siku ya leo. Ukienda social media platform zao zote wameweka story.
IMG_8071.jpeg


Instagram wameweka muda huu hata dakika kumi bado tayari kuna views 70K
 
Gerson atatoa ufafanuzi wa kina ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN wenye nia ovu dhidi ya nchi yetu. Wananchi wanatakiwa kuipuuza hii ripoti ya kizandiki ya CNN.

Sasa GERSON utamfanisha na CNN...Mngese wewe...
 
Safi sana. Huu ushetani uliofanyika lazima uwekwe wazi.
 
CNN wanampiga mama abdul spana hatari.
 
Back
Top Bottom