Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika.

Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake

Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh,

Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar?

Hakuna kama Kagera sugar ingekuja kama second team kujilinda? Kagera sugar ilibaki nyuma ya mpira na wewe uwe na walinzi wengi utawafungaje?

Alifanya mechi iwe ngumu first half bila sababu yoyote.

Mudathir ametumika sana unaona kabisa maamzi yake na pasi nyingi zinapotea kwanini asingempumzisha?

Bench una Chama, Pacome, Max, Ikangalombo Bado unaanza na mabeki 6 dhidi ya Kagera sugar?

Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Eng Hersi Kwa huyu Ramovic ulijichanganya?

Timu inacheza kama haina coach yaani kama timu ya mtaani, hatuoni mbinu za Mwalimu ni vipaji vya wachezaji vinaamua mechi

Eng Hersi ingia sokoni mlete Coach mwenye CV iliyoshiba

Yanga bingwa
 
Wewe kama kocha utajuaje kama Kagera watajilinda tuanzie hapo
 
Yaani hata wewe Kwa akili zako unaona Kagera Sugar atapishana na Yanga uwanjani
Usilazimishe tumpe heshima Rage Kwa kuwatia mbumbumbuutskuwa

Yaani hata wewe Kwa akili zako unaona Kagera Sugar atapishana na Yanga uwanjani
Usilazimishe tumpe heshima Rage Kwa kuwatia mbumbumbu
Kagera siyo timu ya ligi kuu?
Unatatizo gorofani kwako

Do not take things for granted I hate speaking ill to others

Hatuwezi kufikiri unavyotaka wewe hata kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, yaani mvivu wa kufikiri
 
Kagera siyo timu ya ligi kuu?
Unatatizo gorofani kwako

Do not take things for granted I hate speaking ill to others
Ndo maana nakwambia wewe ndo mwanachama halisi wa Rage
Yaani unaona timu zote kwenye ligi Zina uzani sawa?
Angecheza hivi kama ingekuwa dhidi ya Simba, Azam au Singida
Yaani ujilinde dhidi ya timu ya pili kutoka mwisho tusikupopoe?
 
Una tatizo kichwani kwako nenda kakojoe halafu rudi kwenye luninga

Match played with a win of 4-0 what else do you want as a coach
 
Me sio shabiki wa matokeo.
Hii Leo ilikuwa Kagera Sugar ambayo ina hali mbaya ila Kwa mbinu kama hizi akicheza na timu inayojielewa hatoboi
 
Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika.

Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake

Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh,
Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar?
Hakuna kama Kagera sugar ingekuja kama second team kujilinda? Kagera sugar ilibaki nyuma ya mpira na wewe uwe na walinzi wengi utawafungaje?

Alifanya mechi iwe ngumu first half bila sababu yoyote.

Mudathir ametumika sana unaona kabisa maamzi yake na pasi nyingi zinapotea kwanini asingempumzisha?

Bench una Chama, Pacome, Max, Ikangalombo Bado unaanza na mabeki 6 dhidi ya Kagera sugar?

Eng Hersi Kwa huyu Ramovic ulijichanganya?
Timu inacheza kama haina coach yaani kama timu ya mtaani, hatuoni mbinu za Mwalimu ni vipaji vya wachezaji vinaamua mechi

Eng Hersi ingia sokoni mlete Coach mwenye CV iliyoshiba

Yanga bingwa
Huyu kocha sijawah mwelewa nadhan Yanga wanashinda kutokana na ubora wa wachezaji ila kocha miyeyusho sana!

Hata sub anazofanya zinanipa mashaka sana yan, kama leo Dube alitakiwa kutoka abaki na striker 1 ili max aingie Mzize aende kati cha ajabu kamtoa Mzize aliyekuwa threat kule mbele🚮🚮
 
Back
Top Bottom