Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

Nami kaniboa vile vile, nje kuna viungo washambuliaji kibao unaanza na mwenda. Maamuzi yake siyaelewi. Mechi ya mc algers alifanya haya haya, mwisho mechi ikawa ngumu.
 
Tuko pamoja kaka.. Huyu me hapana kwa kweli
 
Pale hakuna kocha, mbabaishaji tu.
 
Siamini kama ni Mwana Yanga
Timu ya Gamond ilikuwa vivu. Kupindukia! Huyu kaleta uhai mwingi kwenye timu mpaka mabwabwa mnajitia ujuaji!

Subirini kipigo chenu shwain nyie!
 
Ina maana mkuu wewe hukuona kabisa ile gusa achia twe de kwao?
 
Ukweli mchungu. Mfumo alionza nao kocha ni mbovu nadhan kocha kocha anashida kwenye matumizi ya mifumo.

Mara nyingi mifumo yake aiendani na mpinzani anaekabiliana nae ndomana hata game ya mwisho klabu bingwa alipoteza kwa sare ya hovyo kutokana na mbinu zake

NB: Bado ana kazi ya kutushawishi mashabiki wa yanga sababu watangulizi wake walitumia muda mchache kutuonyesha walichonacho
 
Lakini si ni nyie hawa hawa ndio mlikuwa mnamlaumu Gamondi kwamba hafanyi rotation ya wachezaji? Jamani muwe watulivu kama mnanyolewa!
So sababu Gamondi hakuwa anafanya Sub basi na huyu kocha anaebebwa na ukubwa team anarundika tuu wachezaji uwanjani!? Kagera ukawaendee na mibeki mitano???? Uliiangalia game first half!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…