Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

Kwani Mshahara wa Ibenge ni Tsh ngapi?
au yule Moise wa A Kusini
 
Unajua sana mpira mkuu
Heshima kwako
 
mwenda leo kacheza kama winga na sio beki...Wewe umeangalia mechi au umehadithiwa
 
Nilishamwambia mtu kuwa mechi dhidi ya Simba, Yanga itapoteza
 
Yanga baada ya kuachana na Gamondi, walitakiwa kutafuta kocha mwenye CV kubwa kama ya Ibenge, nk! Ila siyo huyu wa sasa. Pale wananchi tukubali tu hatuna kocha. Mfano mdogo tu, Prince Dube siyo mchezaji wa dakika 90!
 
Huu mpira ambao timu za tz zinacheza kama chekechea nao una mfumo? Mpira hauna radha timu pinzani haitoi changamoto mfumo huonekani
 
Saannaa, Kama Gamondi ndani ya weeks kadhaa tuu yukaja kuona alichonacho game vs Kaizer
 
Wenye akili wote walishangaa kama wewe. Mpaka Sasa sijui sababu ya kuanzisha beki 5.
 
Una tatizo kichwani kwako nenda kakojoe halafu rudi kwenye luninga

Match played with a win of 4-0 what else do you want as a coach
Mimi siongei kiushabiki ila naongea kama niliewahi kucheza mpira japo sio katika ligi kuu ....kiukweli Kocha ana uwezo wa kawaida sana ila tunalaumu bila kujua kuwa bajeti ndiyo inayoamua uwe na wachezaji au kocha na benchi la ufundi la aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…