Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

Wabongo Tunaridhikaga?.Hakuna ambacho kitafanyika asitokee wakulaumu.Wewe unanuona hafai wengine wananuona anafaa na yule unayemuona anafaa kwa wengine hafai.kila mahali ni lawama ushabiki na ujuaji.Ndivvyo tulivyo.
 
Mimi siongei kiushabiki ila naongea kama niliewahi kucheza mpira japo sio katika ligi kuu ....kiukweli Kocha ana uwezo wa kawaida sana ila tunalaumu bila kujua kuwa bajeti ndiyo inayoamua uwe na wachezaji au kocha na benchi la ufundi la aina gani
Kulishakua na koocha ambaye kiwango chake sio cha kawaida?.maana kila miaka mpira ndo huo huo.Au yanga ilishakua na mafanikio gani makubwa sana ili tuone makocha wa sasa uwezo mdogo?
 
Wabongo Tunaridhikaga?.Hakuna ambacho kitafanyika asitokee wakulaumu.Wewe unanuona hafai wengine wananuona anafaa na yule unayemuona anafaa kwa wengine hafai.kila mahali ni lawama ushabiki na ujuaji.Ndivvyo tulivyo.
Hakika kila mtu na mtazamo wake
 
Wabongo Tunaridhikaga?.Hakuna ambacho kitafanyika asitokee wakulaumu.Wewe unanuona hafai wengine wananuona anafaa na yule unayemuona anafaa kwa wengine hafai.kila mahali ni lawama ushabiki na ujuaji.Ndivvyo tulivyo.
Kiko wapii 😹
 
Huyu kocha katokea tu kutokupendwa na mashabiki wa Yanga ila huenda akawa ni kocha mzuri sana na ndio maana Belouizdad wamemchukua. Jana katanguliwa goli 2:0 na Mc Alger ila karudisha zote 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…