Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Ni Tanzania pekee mchezaji anacheza unsposman faul anapewa kadi ya njano na anaendelea kucheza.
Ile faulo ilikuwa siyo ya kiuwanamichezo kabisa.

Waamuzi wetu wana mapungufu mengi sana. Kwa sisi tulio bahatika kucheza walau ligi ya ng'ombe, ukichezewa rafu kama ile, basi ujue mhusika alidhamiria kukustaafisha mpira kwa lazima.

That was a straight red card.
 
TFF wamu adhibu Morrison.

Ana Katabia Kakishamba Kakuwahadaa waamuzi wakati wa Kupiga Kona.

Hii Kona Ilio Zaa Gori Kapigia Nje ya Eneo Linalo Ruhusiwa.
Kibendera hakuwepo?? Kosa la morrison lipo wapi? Refa kwa nn hakutoa kadi?? Mpira umeanza angalia leo? Yaan mpaka unaandika ulikuwa unawaza nn?? Kweli nimeamin simba ni last born wa TFF
 
Uwe unaacha umama
8B756133-A7D4-4992-B144-09FC4483B288.jpeg
 
Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
😂😅 Hivi kumbe nilikua nabishana mpira na mwanamke mrembo kweli nimekukosea... Sweetdarling nisamehe umeshinda hili pambano...
 
Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
akifunga gol moja kila mechi atakuwa na magoli mangapi mwishoni
 
akifunga gol moja kila mechi atakuwa na magoli mangapi mwishoni
Shida sasa anaweza asifunge kila.mechi ndo maana nasema akipata nafasi aitumie kufunga mengi zaidi
 
Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
Mpaka sasa ashafunga Simba goli tatu katika mechi 2.

Ebu tutajie mchezaji wenu ambaye haotei akamzidi Mayele tangu asajiliwe.
 
Wameshaanza sasa malalamishi ila hii timu jamani hahahahhah ina shida. Mi nadhani yule bangala asingemsukuma yule mchezaji labda refa angetoa kadi nyekundu
Yaani refa asitoe red kisa bangala kamsukuma...

Hiyo ni sheria namba ngapi?

Kamati ya masaa 72 inaweza kumla kichwa jamaa.
 
😂😅😂 Mayele kawafunga makipa wote wa simba... Mayele kaifunga magoli mengi simba... Mayele ktk mechi moja aliyowah kufunga magoli mawili ni alipokutana na simba... Mayele Mayele Mayeleeeee
Kwenye hii nchi simba ndiyo kibonde wetu tumempiga mara nyingi kuliko timu zote duniani
 
Back
Top Bottom