mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Pole mkuu, mpira ndio ulivyoSema moja mliwafunga kina nani mbili? Sisi mbona tuliwafunga moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, mpira ndio ulivyoSema moja mliwafunga kina nani mbili? Sisi mbona tuliwafunga moja
Kitendo cha Mtenje Jr kumaliza hii Mechi ni udhaifu mkubwa Kwa mwamuzi.Hawa marefa kichefuchefu sana
Lini tumefungwa ?Malalamishi fc wakishinda wanalalamika wakifungwa wanalalamika.
Kwahiyo hamjapigwa viwili na Yanga? Basi aliwapiga Mayele pole mkuuSema moja mliwafunga kina nani mbili? Sisi mbona tuliwafunga moja
Unalalamika nini sasaMalalamishi fc wakishinda wanalalamika wakifungwa wanalalamika.
Ile rafu kwa Bangala ni straight red cardWaamuzi Wa mpira ni kichefuchefu aise!
Thubutu,hatutakiNaomba tukimalizana na Coastal tucheze na Simba
Thimba hawatakubali, labda asiwepo king Mayele,Naomba tukimalizana na Coastal tucheze na Simba
Tuliokupa likes ndo tunakutafuta0-2 FT favorite to Young Africans.
Mbona kipindi yuko Simba hamkusema?[emoji3][emoji3][emoji3]TFF wamu adhibu Morrison.
Ana Katabia Kakishamba Kakuwahadaa waamuzi wakati wa Kupiga Kona.
Hii Kona Ilio Zaa Gori Kapigia Nje ya Eneo Linalo Ruhusiwa.
We mbumbumbu this is dar young Africa,tunafunga timu zote za bongoTFF wamu adhibu Morrison.
Ana Katabia Kakishamba Kakuwahadaa waamuzi wakati wa Kupiga Kona.
Hii Kona Ilio Zaa Gori Kapigia Nje ya Eneo Linalo Ruhusiwa.
TehtehtehThubutu,hatutaki
Mbwa kokoYanga akishinda mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
We mbumbumbu this is dar young Africa,tunafunga timu zote za bongo