Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Anachofanya Morrison ni utovu wa nidhamu wa makusudi nafikiri marefa wanatakiwa kumuadhibu vikali kitendo chakupiga kona nje ya eneo linalotakiwa si sawa kabisa na amekua akifanya hivi toka akiwa Simba marefa wanatakiwa kumchukulia hatua ule ni upuuzi
 
Back
Top Bottom