Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Simba mlishonwa bao 2, hawa wadogo zenu tunawashona bao 3.
Bao mbili kwa moja nyavu zenu zilitikiswa kumbuka tena mapemaaa. So haijalishi hilo moja. Mm nawatakia mshinde maana ni aibu kuchukua kombe msimu mmoja na hili naona linaenda kutokea
 
Yanga ya msimu huu kwa magoli hay ya kuchovya chovya itajipanga sana kwa simba ambao haishuki chini ya goli 3.
 
Asante Azam kwa kutuletea Azam max..naifuatilia hii mechi nikiwa katika jiji la Limassol kusini mwa kisiwa cha Cyprus. Coastal wanakosa wamaliziaji tu ,wakituliza vichwa wanaweza wakapata magoli kipindi cha pili.
 
Jamani huyu mchezji wa coastal alitaka kumvunja Bangala mguuu? It was makusudi ndo naangalia review hapa.
 
Back
Top Bottom