Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tufanye moja bila basi..........tunawaamuzi wa hovyo sanaTFF wamu adhibu Morrison.
Ana Katabia Kakishamba Kakuwahadaa waamuzi wakati wa Kupiga Kona.
Hii Kona Ilio Zaa Gori Kapigia Nje ya Eneo Linalo Ruhusiwa.
Nilishamuuliza kitambo kama alikuwa ameshajiandaa sasa kuitwa mbwa, akaishia tu kucheka eti!Tate Mkuu Shadeeya zipompa ukikaidi utapigwa2 Chukwu emeka Frank Wanjiru
Numbisa pitieni hapa..Kuna ujumbe wenu
Ile faulo ilikuwa siyo ya kiuwanamichezo kabisa.Ni Tanzania pekee mchezaji anacheza unsposman faul anapewa kadi ya njano na anaendelea kucheza.
Kibendera hakuwepo?? Kosa la morrison lipo wapi? Refa kwa nn hakutoa kadi?? Mpira umeanza angalia leo? Yaan mpaka unaandika ulikuwa unawaza nn?? Kweli nimeamin simba ni last born wa TFFTFF wamu adhibu Morrison.
Ana Katabia Kakishamba Kakuwahadaa waamuzi wakati wa Kupiga Kona.
Hii Kona Ilio Zaa Gori Kapigia Nje ya Eneo Linalo Ruhusiwa.
Uwe unaacha umama
ππ Hivi kumbe nilikua nabishana mpira na mwanamke mrembo kweli nimekukosea... Sweetdarling nisamehe umeshinda hili pambano...Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
akifunga gol moja kila mechi atakuwa na magoli mangapi mwishoniKumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
Wewe ni Mbwa Koko umekaaYanga akishinda mniite mbwa nimekaa pale ππππ
Wewe Mbwa, UmbwaYanga akishinda mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Tukuite KariaYanga akishinda mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Shida sasa anaweza asifunge kila.mechi ndo maana nasema akipata nafasi aitumie kufunga mengi zaidiakifunga gol moja kila mechi atakuwa na magoli mangapi mwishoni
MBWA JIKEYanga akishinda mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mpaka sasa ashafunga Simba goli tatu katika mechi 2.Kumbeee magoli mengi ni 2? Mchezaji gani wa kiwango hana hata hattrick?? Ndo maaana nasema anaoteaaa huyo bado sanaa. Nyie wanaume wenzie endeleeni kumpeti peti ili azidishe sifa badala afunge magoli. Kumbe huku kwingine anadonoa donoa?. Sasa unafurahia kuifunga simba siku mkiifunga tp mazembe au timu za misri si atakufa? Lake ni moja tuu kumbe
Wapi hii ndugu?Tukuite KariaView attachment 2329606
duh mfirwaji anapinga ufiraj
Yaani refa asitoe red kisa bangala kamsukuma...Wameshaanza sasa malalamishi ila hii timu jamani hahahahhah ina shida. Mi nadhani yule bangala asingemsukuma yule mchezaji labda refa angetoa kadi nyekundu
Kwenye hii nchi simba ndiyo kibonde wetu tumempiga mara nyingi kuliko timu zote dunianiππ π Mayele kawafunga makipa wote wa simba... Mayele kaifunga magoli mengi simba... Mayele ktk mechi moja aliyowah kufunga magoli mawili ni alipokutana na simba... Mayele Mayele Mayeleeeee
Inamaana hamna mechi ambayo amewahi kupendelewa yanga.Kwani kilichotokea hukuona,au nawewe ni wale wale wa HOVYO?