Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

Wampe tuu sisi huku tuna raha zetu. By the way upo mtani? Simba ya motooo
Mashabiki wa Simba huwa mnanigurahisha sana. Mkifungwa mechi moja, mnapagawa; maanza kulalamika kuwa timu mbovu, kocha mbovu mnataka kocha afukuzwe, mara babra aondoke mara wachezaji hawajitumi. Mkishinda mechi moja tu, simba timu bora sana, mnasahau malalamiko yeni yote.

Ngoja siku zaja mtakapopoteana tena. Baada ya kutoa sare mikioani huko.

Kwa mpira mnaocheza mikoani hamtoboi.
 
Sijawahi lalamika hebu rudia replies zangu zotee. Mm kazi yangu ni kuwapondea Yanga muwe mmecheza vzr au vibaya,muwe mmefunga au hamjafunga
 
Kwa lugha iliyokuja na mashua ninyi tunawaita ma'hater. 😂😂

Andaa vidonge vya kushusha presha maana 23 september siyo mbali.
 
Mimi sinaga presha yani presha yangu inakaa normal niki wakandia. Kwamba trh 23 mtatufunga tena? Sawaaaaaaa
 
Mwnyeto ni Baki zuri but latest ymtime Kawa mdebwendo sana.. kuhusu Taifa star wengi tu wameachwa hata akina Zimbwe... Anahitaji mda kidogo wa kujiweka fiti
 
Back
Top Bottom