Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kutoka Misri mpaka bongo kwa ndege ni muda gani mkuu? Saa 24 zinakatika? Ndio maana nimesema nimesikia. Sijathibitisha mkuuKondeboy jana kacheza game ya Ahly, kafunga goli na kawa man of the match....huyo aliyepo nchini itakuwa ni sanamu yake labda.
Na ile kosa lingetokea kwenyye mchezo wa dhidi ya Yanga zingejazana nyuzi za GSM kutoa bahasha kwa wachezaji wa Coastal.Hilo kosa angelifanya beki wa Simba ungesema beki mbovu,kwa sababu ni beki wa Coastal lazima useme hivyo
Umesahau afrika masharika na Kati sio Tanzania tu.Ft Simba 3 Vs Coast 0.
Kila La Kheri Simba Sc Timu Yenye Mafanikio Zaidi Tanzania.
"nge" unaumiaa sana utoo[emoji1]Simba inacheza hovyo.....coastal wangekuwa na mfungaji tungekuwa tunasema mengine tena
Acha Simba waendelee kula mshikaki tu,aliowachomea beki....... nasubilia hapa na beki wa Simba afanye kosa kama hiloHilo kosa angelifanya beki wa Simba ungesema beki mbovu,kwa sababu ni beki wa Coastal lazima useme hivyo
GSM uhakika kwa kutoa bahasha hasa kwa marefa na hivi vilabu vyenye njaa mbona?Na ile kosa lingetokea kwenyye mchezo wa dhidi ya Yanga zingejazana nyuzi za GSM kutoa bahasha kwa wachezaji wa Coastal.
hakuna gol la kizembeCost anafugwa goal la kizembe kabisa
Na baada ya hapo mtatinga robo fainal ya CAF .Kwa hili pila gimbi tar 30 hawachomoki hawa.
Na kama wanategemea tugoli twa bahati kama haka ka leo aisee maji wataita mma hiyo siku.
Hatuna beki mbovu kama coastal.
Kabla hajapata majeraha alikuwa vizuri na alishaingia kwenye mfumo waa timu, Ila kwa Sasa kaanza upyaKibu kapokea matusi mengi sana kwenye hili bandaumiza
Atoke anafanya nini mpaka mda huu na mayele yuko njekibu anafanya mambo ya kipuuzi