Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Simba inacheza hovyo.....coastal wangekuwa na mfungaji tungekuwa tunasema mengine tena
 
Kondeboy jana kacheza game ya Ahly, kafunga goli na kawa man of the match....huyo aliyepo nchini itakuwa ni sanamu yake labda.
Kwani kutoka Misri mpaka bongo kwa ndege ni muda gani mkuu? Saa 24 zinakatika? Ndio maana nimesema nimesikia. Sijathibitisha mkuu
 
Hilo kosa angelifanya beki wa Simba ungesema beki mbovu,kwa sababu ni beki wa Coastal lazima useme hivyo
Na ile kosa lingetokea kwenyye mchezo wa dhidi ya Yanga zingejazana nyuzi za GSM kutoa bahasha kwa wachezaji wa Coastal.
 
Hilo kosa angelifanya beki wa Simba ungesema beki mbovu,kwa sababu ni beki wa Coastal lazima useme hivyo
Acha Simba waendelee kula mshikaki tu,aliowachomea beki....... nasubilia hapa na beki wa Simba afanye kosa kama hilo
 
Na ile kosa lingetokea kwenyye mchezo wa dhidi ya Yanga zingejazana nyuzi za GSM kutoa bahasha kwa wachezaji wa Coastal.
GSM uhakika kwa kutoa bahasha hasa kwa marefa na hivi vilabu vyenye njaa mbona?
 
Kwa hili pila gimbi tar 30 hawachomoki hawa.
Na kama wanategemea tugoli twa bahati kama haka ka leo aisee maji wataita mma hiyo siku.
Hatuna beki mbovu kama coastal.
 
Kwa hili pila gimbi tar 30 hawachomoki hawa.
Na kama wanategemea tugoli twa bahati kama haka ka leo aisee maji wataita mma hiyo siku.
Hatuna beki mbovu kama coastal.
Na baada ya hapo mtatinga robo fainal ya CAF .
 
Back
Top Bottom