Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Nacheka mie. Lol.Kila la kheri Simba timu inayoipa thamani nchi ya Tanzania katika ulimwengu wa soka kimataifa.
SIMBA NGUVU MOJA
SI tulishakubaliana Kibu D ni mmoja ni sawa na mayele 10??Kibu D
Hatoshi ndani ya jezi ya Simba
Sijawahi kumuelewa huyu mtu kabisaaKibu D
Hatoshi ndani ya jezi ya Simba
Ulikubaliana na nani mkuu Pweza Boy unajua unaongea na mwana robo fainal katika michuano ya AfrikaSI tulishakubaliana Kibu D ni mmoja ni sawa na mayele 10??
Dakika ya ngapi jamani
Kuna goli la ushindi hapa, msikonde
Kuna goli la ushindi hapa, msikonde